Recent content by mabala1990

  1. mabala1990

    JamiiForums Tanzania Hivi kukifanyika mgomo wa kutokwenda kazini, kutoshiriki jambo lolote la kiserikali badala ya mbinu ya maandamano haitakuwa rahisi kweli kufikia lengo

    Shida inakuja moja, asilimia kubwa walio makazini hasa hasa walio kazini wanakuwa kama vile na uoga kwamba watapoteza kazi zao sababu wanao wategemea ni wengi.., Ila upande wa hawa Gen Z hawana kazi, maana yake hawana cha kupoteza, na ndio wakuu wanao umia zaidi kuliko hawa wenye mkate japo...
  2. mabala1990

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kutokulipwa hela ya kujikimu ajira ya mwaka 2017 wilaya ya Kwimba

    Shukran ndugu Ipo kisheria kabisa hata kwenye mkataba wa kazi ipo imewekwa
  3. mabala1990

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kutokulipwa hela ya kujikimu ajira ya mwaka 2017 wilaya ya Kwimba

    Na wameshabadilisha wakurugenz mara 3, so kila mmoja akija anasema atashughulikia ila waaapi Na pia nasupport reform kwenye kila kitu kwakweli
  4. mabala1990

    JamiiForums Tanzania Mmea huu ni kiboko kwa wote wenye ndonda na bawasili

    Kuota kinyama sehem za haja kubwa, so ukiwa unaenda haja kubwa unasumbuka saaana kwa maumivu
  5. mabala1990

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusa document ambazo zimescaniwa

    Ndio alichomaanisha, inakuwa sawa kabisa kama original document Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
  6. mabala1990

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Oppo A93 ya mwaka 2020 Ram 8GB Rom 128GB Bei 550000 Location Mwanza Mawasiliano 0682477164 sms/call Whatsap 0745111205 Iko katika hali nzuri Njoo ukague mzigo
  7. mabala1990

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Pyramids

    mmenifanya,niende youtube na google kuangalia.., ni tofali la tani 2.5 ambayo ni 2500kg.., ndio maelezo yao yanavyosema, kuhusu hayo majabar yaliyojengea hilo kitu
  8. mabala1990

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Pyramids

    hahaahaaa.., walihofia watafufuka kudadek hahahaa tofali moja kama uzito wa mitsubish hahhaaaaaaaaaaa dadek
  9. mabala1990

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Pyramids

    kipindi iko sisi wanadamu hatupo eeeegh?
  10. mabala1990

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Tuwekee angalau picha mfano baadhi ya vitu sasa tuweke order
  11. mabala1990

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki nzuri, ngumu inauzwa kwa bei nafuu!

    Uko wap
  12. mabala1990

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Karibu sana, niko na oppo A93 hapa kitu muruuua kabisaa
  13. mabala1990

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Oppo A93 Ram 8GB Rom 12GB Nimeinunua tareh 17 mwez huu.., sijaattach picha maana ndio natumia. Haina tatizo wala mchubuko wowote.., Nakupatia kila kitu mpaka box Bei 650K mawasiliano +255745111205
Back
Top Bottom