Recent content by maarifa gasper

  1. M

    Onyo kwa CHADEMA na angalizo kwa Dr. Slaa - We are watching you!

    kwani ubunge ni uflume hadi mtu aongopwe kupingwa kisa aendelee na ubunge au democracy haba nn, mama wa watu anahaki yakufanya ivo kabisa
  2. M

    Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    ww unayemwambia mwenzako kua kam enzi za hitler alitakiwa kuuwawa basi ww enzi hizi unatakiwa kuuawa maana huna manufaa katika jamii yaleo, jamii ya leo inataka mtu anayesumbua kichwa chake kwa kufikiri naco kuacha watu wengine wamfkilie na kitu icho unakifanya ww sasa maana umewaluhusu mbowe na...
  3. M

    Nafasi za Kazi Utumishi

    inabidi ujisajili kwanza kaka (ukifungua portal nenda sehemu waliyo andika register utaona maelekezo)
  4. M

    Zitto: Marekani Yangu ni Hivi Vijiji Vya Tanzania; Tutafanya Mijadala humu Vijijini!

    watanzania wa leo co wajana wale wakupakwa uji kwenye midomo nakuambiwa wamekunywa uji, yanini tupewe kauli za matumaini alihali tunajua kauli tunazopewa nizakuongopewa, yann tumkubali mnafik anaye jifanya kutozijua nchi za nje wakati wa shida kwake alihali wakati tutakapokua nashida sisi...
  5. M

    Mawaziri aina ya Magufuli ,Mrema na wengine wa aina ya Nyapara ni too manual hawana sifa za uongozi

    pole sana ndugu kwa kufikilia kua kiongozi unatakiwa kukaa ofisini na kutatulia matatizo ya jamii, ivi unawezaje kutatua matatizo ya tandahimba ali hali uko dar? wawezaje kujua matatizo ya jamii alihali umejifungia ofisini? utajua miradi inaenda kama ilivyo ainishwa alihali mtazamo wako no...
  6. M

    Mtoto mwenye miaka 3, mwenye uwezo wa kufanya hesabu za Sekondari na kuongea Kiingereza vizuri

    nakubaliana nawewe kaka kuna uwezekano kabsa ya kua anasumbuliwa na majini halafu watu mkawa mnasema kpaji
  7. M

    Watanzania wengi hawaifahamu mikoa ya kaskazini mwa Tanzania

    nimeamini watu mko vzr kwa kukosoa bila kuangalia uhalisia wa suala lenyewe, mtoa maada ana dukuduku wa mikoa ya kaskazin halafu nyie mnaanza kuleta eti pande nane mala kumi na sita haya hebu mtuambie nilini mlishaskia ikitajwa mikoa ya kaskazin mashariki au kusini magharibi? nafikir...
  8. M

    Chipukizi wa UVCCM wajifua pekupeku vikali tayari kwa kilele cha miaka 38 ya CCM kesho

    kuna tofauti kubwa sana kt vijana na watoto na kwasasa ccm watabaki kukusanya watoto ktkt mkutano yenu, pole ccm
  9. M

    Dr. Slaa amechuja sana kisiasa

    daaaa!!! kweli mkweree nomaaa hospital full dawa, shule full walimu na masilahi yao yako juu, RICH MOOND, EPA&ESCROW historia KWELI MKWEREE ANAFAA KUIONGOZA TZ YA VPOFU LAKN C TZ YA LEO YA WATU WANAO ONA.
Back
Top Bottom