Recent content by maali

  1. M

    Kauli ya Mwigulu kuwa sio shimo lililosababisha ajali ni mwendo wa dereva wa Fuso ni ya kizembe

    Pia mameneja na/au injinia wao wapewe petroli ya kutosha ili mara kwa mara(angalao mara moja kwa wiki) wawe wanatembelea barabara katika maeneo hao. Wakiona shimo linaanza kujitengeneza wawahi kulithibiti. Ikumbukwe crack ikianza maji yaki-percolate ardhi chini ya lami inalainishwa panatitia...
  2. M

    Mauaji Kinondoni: Waziri Nchemba amtaka IGP na timu yake kufanya uchunguzi wa kina

    Usikute balozi wa serikali ya Marikani anajibiwa?!
  3. M

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Sawa nitakuja je waweza nielekeza wapi mafundi wa microwave? Asante.
  4. M

    TRA mnataka kodi na kwenye sadaka?

    Mzee wa vijisenti
  5. M

    Akina dada mnaouza miili yenu Moshi jiangalieni!

    Imeandikwa: ishi kitakatifu siku ya Mungu.
  6. M

    Serikali: Shule binafsi, marufuku kukaririsha darasa au kufukuza Mwanafunzi kwa kutofikia wastani wa shule

    Halafu form two atawapata wapi? Si madarasa yatabaki wazi
  7. M

    Kipindi cha Tanzania mpya TBC: Katiba ibadilishwe Rais atawale miaka 20

    TBC wasubiri mwaka wa 9 wa utawala wake ndipo wafanye hiyo mada waone mafanikio na mapungufu. It is simply too early for this kind of discussion. Constitutionally it is uncalled for in the absence of the requisite provisions.
  8. M

    Dotto Bulendu: Kwanini Ikulu tu ndio wapate live coverage, Bunge, Mahakama zinafunikwa?

    Nashauri bunge live lionyeshwe baada ya Kazi kuanzia session ya jioni saa 10. Hapo inakuaje?
  9. M

    Mafundi kutengeneza west point microwave

    Salaam. Naomba mwenye kujua mahali walipo mafundi wa jiko la microwave Dar wanijuze. Asante.
  10. M

    Rais Magufuli amemteua Profesa Florens Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

    As an economist, I think this is regetable to say the least.
  11. M

    Sakata la uteuzi wa Katibu wa Bunge: Msigwa atoa "declaration" mtandaoni

    Na sharia hiyo iliidhinishwa na rais ILI owe sheria
  12. M

    DAR: Mbunge wa Mikumi Joseph Haule (Proffesor Jay) CHADEMA,avunjiwa nyumba yake

    Wangepewa muda watafute mafundi waezue paa, mbao, wang'oe madirisha nk vitu ambavyo vitasaidia kwenye kujenga nyingine
  13. M

    Serikali iko tayari kugharamia matibabu ya Tundu Lissu popote Ulimwenguni

    Au usikute kuna mtu muhimu anahitaji matibabu ya haraka nje ya nchi na sasa inabidi kujiuliza itakuaje huyu wakati yule hakuhudumiwa? Just thinking aloud.
Back
Top Bottom