Recent content by M2De

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Growth Hacking

    mkuu ebu nkuulize unisave kitu kwa Africa nchi ambazo Zina policy nzuri na Sheria favorite kwa uwekezaji na pia unafuu wa tax ni zipi mkuuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana info za uwekezaji na biashara za uzalishaji na makampuni

    Nchi ambazo Zina policy nzuri na Kodi poaa nikafungue parents company uko
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo Cha kibiashara

    shukrani Sana mkuuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana info za uwekezaji na biashara za uzalishaji na makampuni

    tanx mkuuu Japo ishu ni Kama nataka kufungua kampuni ndo nahtaji mkuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo Cha kibiashara

    Habari za uku wakulima wenzangu naombeni msaada haswa wa Mambo mawili 1.ardhi Hivi ni njia gani mtu unaweza milikishwa ardhi ambayo no mapori bado na kuianzisha kwaajil ya kilimo 2.Masoko Ni njia zipi watu wanatumia kutafutia masoko ya uko ughaibuni na wanayapataje? Naombaa kuwasilisha...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana info za uwekezaji na biashara za uzalishaji na makampuni

    Njia gani makampuni makubwa yanatumia kupunguza Kodi au kukwepa pale inapokuwa kubwa japo kulipa Kodi no uzalendo na ni kujenga nchi but wakishakuja na bambikizo lao utaskiaa tu uwiiii nyingi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana info za uwekezaji na biashara za uzalishaji na makampuni

    Habari za huku wakuu wa JF Kama kichwa Cha Uzi kinavojieleza hapo me naanza na kuuliza ni nchi gani kwa afrika ambazo Zina unafuu haswa wa Kodi na mazingira yake kibiashara yako vizuri
  8. M

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji kijana wa kazi

    sio lazma mkuuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji kijana wa kazi

    me CNA shida Niko tayar kufundishwa uko wap mkuu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji kijana wa kazi

    usimamizi anything from 50K per month
  11. M

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji kijana wa kazi

    Mimi ni kijana nahitaji kazi yoyote hata ya kuuza duka umri 21 Niko Moshi mawasiliano 0620890013
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ijue Comoro: Fursa za Biashara na Changamoto Zake

    pamoja Sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ijue Comoro: Fursa za Biashara na Changamoto Zake

    tanx mda mwingine tunatakiwa kuthink ahead tusibeze Sana na kukejeli maarifa ujuzi na taarifa Kama hizi ni Kama tools ya kusaidiana tuyafikie malengo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ijue Comoro: Fursa za Biashara na Changamoto Zake

    Tanx muda mwingine tunatakiwa kuthink ahead tusibeze Sana na kukejeli maarifa ujuzi na taarifa Kama hizi ni Kama tools ya kusaidiana tuyafikie malengo
Back
Top Bottom