Uzi wa kupeana info za uwekezaji na biashara za uzalishaji na makampuni

M2De

Member
Oct 27, 2021
14
8
Habari za huku wakuu wa JF Kama kichwa Cha Uzi kinavojieleza hapo me naanza na kuuliza ni nchi gani kwa afrika ambazo Zina unafuu haswa wa Kodi na mazingira yake kibiashara yako vizuri
 
Njia gani makampuni makubwa yanatumia kupunguza Kodi au kukwepa pale inapokuwa kubwa japo kulipa Kodi no uzalendo na ni kujenga nchi but wakishakuja na bambikizo lao utaskiaa tu uwiiii nyingi
 
Habari za huku wakuu wa JF Kama kichwa Cha Uzi kinavojieleza hapo me naanza na kuuliza ni nchi gani kwa afrika ambazo Zina unafuu haswa wa Kodi na mazingira yake kibiashara yako vizuri
Sina ninalojua Mkuu. Wacha wakuje
 
Habari za huku wakuu wa JF Kama kichwa Cha Uzi kinavojieleza hapo me naanza na kuuliza ni nchi gani kwa afrika ambazo Zina unafuu haswa wa Kodi na mazingira yake kibiashara yako vizuri
Mkuu uzi wako ni mzuri sana ila huu ni uzi ambao huwezi kupata wachangiaji wengi, mim nakushauri kama unataka kufanya biashara na nchi za SADC AU EAC basi ukiingiza mzigo kutoka kwenye nchi hizo hutalipa ushuru wa bidhaa kwa maaana ya import duty mfano wa hizo nchi ni kenya uganda, rwanda botswana, south africa, zambia n.k hivyo ww ukiingiza vitu kutoka nchi hizo utalipa kodi tofauti na anaeingiza kutoka china, uingereza na kwingineko.
 
tanx mkuuu
Japo ishu ni Kama nataka kufungua kampuni ndo nahtaji mkuu
 
Nchi ambazo Zina policy nzuri na Kodi poaa nikafungue parents company uko
 
Back
Top Bottom