Recent content by M TZ

  1. M TZ

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dr. Slaa kuzungumza, Mbowe kufunguka

    Dr slaa hawezi kuwa amejivunjia heshima Dr kanyoosha maelezo vizuri the kama mbowe, lisu na Luwasa. Wana lolote la kuongea waite press conference wajibu hoja kwa mantiki na sio kwa jazba Watu wanapigwa na wake zao na inabaki kama story yakusadikika itakiwa kulala kwenye gari jibuni hoja sio kashfa
  2. M TZ

    JamiiForums Tanzania Dk. Milton Makongoro Mahanga atangaza rasmi kujiunga CHADEMA

    Kapigwa chini kura za maoni sjui anakimbilia CDM kushangilia au kupewa ubunge wa kuteuliwa na lowassa
  3. M TZ

    JamiiForums Tanzania Kikwete na Nape Nnauye, laana ya kushusha hadhi ya CCM itawatembelea milele

    #Emma Nadhani hujafuatilia chaguzi za ccm /teuzi mbalimbali tangu 1995 1995 mkapa hakuwa chaguo la wengi ni baba wa taifa alimtaka, akashinikiza kukatwa kwa Edward Lowassa na mzee Malecela, mambo yakaenda sawa 2005 chini ya mwenyekiti mkapa unakumbuka walimfanya nini mzee Malecela...
  4. M TZ

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Ni kweli mkuu CDM walikuwa wanamngoja EL kwa hamu kubwa apitishwe na CCM ili wa mmbomowe kwa kashfa kadhaa alizokuwa nazo kwani wakisemaga kwamba yeye ni fisadi PAPA Je leo hii kageuka kuwa kafisadi ka_kauzu Mwingine anadiriki kumsafisha eti kashetani kadogo kametoka kwa mashetani makubwa...
  5. M TZ

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Vipenzi wa CCM vikongwe na wanawake wapata fursa ya kujiandikisha bila foleni kuongeza kura Tungoje october tutajua ni lwakatare au na ni mwingine
  6. M TZ

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Big up 100% Rais J P Magufuli Udiwan na ubunge cdm, cuf, nccr na wengineo
  7. M TZ

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Angalia mkuu usiamini kelele za watoto wa mjini au kundi kubwa linalo hudhuria mikutano ya ki siasa kumbe wengi labda hawana hata hivyo vitambulisho vipya ukaona watamchagua Lwakatare cdm Si sawa sana
  8. M TZ

    JamiiForums Tanzania Lowasa ukawa live..

    Speed za chadema kumuwania EL zaelekea ukingoni maana kila kukicha wanabakia Subirini tunamtambulisha rasmi Zilonga mbali zitendwa mbali Imebaku hadithi tu
  9. M TZ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

    Kweli ni nyumbani tu hata kama ni porini Hatimae Obama amethibitisha. Kuwa yeye ni Muafrika kutoka Kenya East Africa
  10. M TZ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

    Kweli ni nyumbani tu hata kukiwa porini Hatimae Obama amekubali yeye ni muafrica kutoka East Africa. Kenya
  11. M TZ

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    ]Dereva wa gari lililokua na mipesa kamtaja Manji...Ikumbukwe Manji ni rafk wa familia ya JK kupitia Riziwan, (unganisha dots hapo)… Pia ifahamike pia Riziwan ni Team Membe. Pia rejea beef la Manji ambae ni team Membe dhidi ya Mengi team EL. Tukifanya kazi ya kujumlisha moja na moja sawa na...
  12. M TZ

    JamiiForums Tanzania Kama Lowassa ni jembe ataiwezesha UKAWA kushinda!

    Kumbuka Arap Moi alipo mng'ang'ania Uhuru Kenyata the Nini kilitokea Kina Mwai Kibaki walihama KANU. na Kibaki akakalia kiti Kwa hiyo Lowasa kuhamia chama kingine ni Ukomavu wa demokrasia kwani kilicho fanyika CCM ni mizengwe na uhuni tu si demokrasia E Lowassa karibia upinzani hakuna wa...
  13. M TZ

    JamiiForums Tanzania 2015 Hali (Upepo) ya Kisiasa 2015 si wa Dr W.P Slaa!

    Mkuu sema kama unajua lolote au unazuga tu
  14. M TZ

    JamiiForums Tanzania Barabara mpya ya Msata-Bagamoyo inasambaratika hata kabla ya ufunguzi

    Hii si barabara ya lami bali ni barabara ya vumbi iliyopakwa rangi nyeusi tena ya sadolin[ Nadhani magufuli labda ataikataa kama ile ya kilwa road Sasa bwana Mkubwa anapopita haoni mapungufu au ndo mambo ya kishkaji
  15. M TZ

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yafuta sheria iliyokuwa inapinga ndoa za jinsia moja

    John terry Ndo anavyotaka
Back
Top Bottom