meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
Ni hitimisho lililowazi kuwa Lowassa ameshindwa kuishawishi kamati kuu ya ccm kwamba anafaa kupeperusha bendera ya ccm.
Ni ukweli ulio wazi Team lowassa ndani yake wakiwemo Nchimbi,Simba,Kimbisa na babu yao kingunge hawajaridhishwa na mchakato wa mgombea wao kukatwa.
Anachotakiwa kukifanya EL kwa sasa ni kukubali kuwa amezidiwa nguvu ndani ya ccm.
Hatakiwi kulaumu au kuropoka bali anatakiwa atulie moja kwa moja ale fedha za uwaziri mkuu mstaafu hata kama hastahili au alianzishe timbwili kwa chinichini.
Yaani atumie ule mtandao wake mpana aliojinadi na kuudisplay kuhakikisha ccm inaanguka.
Yaani ahakikishe UKAWA inashinda ili tumtambue kuwa alikuwa ana nguvu ndani na nje ya ccm.
Haya yasipotokea ina maana EL na Team yake walikuwa wanataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia.