Kwanza unatakiwa kufahamu kuwa ukinunua hisa kwenye benki nawewe unakuwa sehemu ya wamiliki wa hyo benki ila inategemea hisa hzo umezinunua wakati benki inaziuza kwa mala ya kwanza (primary market) ukizinunua hisa katika soko ili wewe utakuwa ordinary shareholder. Benki ikisha wapata ordinary...
Hv mkurugenzi ukipanda ndege dar-Mwanza ukachukua gari pale tanesco mkoa ikakupeleka Musoma nayo ni shida au Magari mazuri yapo dar tu. Tunapo zungumzia mkurugenzi wa tanesco nchini ata mkuu wa mkoa ni mtoto mdogo kwake kwa kila kitu kuanzia mshahara mpaka posho na exposure.
Waking mtu kapata kuanzia 100 mpaka 75 wawaite wote wenye hzo marks wawekwe kwenye chumba chao wanyanganywe cm wapewe mtiani mwingine uone kama watapata ata hamsini. Ile mitiani bila kupewa majibu ata 60 kuipata nikubatisha.
Mm kwangu TRA wapewe tuzo. Ile mitiani kwanza waliotunga ni NBAA maswali kwanza ni kuchagua mtiani una maswali matatu ila kila swali lina vikings vozifyo pungua kumi na na tano ukiacha swali la misho ambalo lina hesabu kiasi. Ila ule mtiani watu wanaona ni mwepesi kwasababu ni kuchagua na true...
Hyo mifumo yenyewe ya kukusanya malipo kwa kutumia Point of sales machine Pos wahasibu Mapato wa halmashauri wanaruhusiwa kuingia kwenye system nakufuta baadhi ya transaction kama zimekosewa ila hyo ruhusa imegeuka fursa kwa wahasibu kufuta transaction kubwa kubwa kwa kushirikiana na wakusanya...
Miradi inafanywa bila kuwashirikisha wananchi. Kuna mnada wa mifugo umejengwa eneo la kashenye kibaoni wilaya ya Muleba umeghalimu mamilioni ya pesa lkn haufanyi kazi, tena hayo masoko ndo kabisa husiseme nafkl wilaya ya Muleba inaweza ikawa inaongoza. Pale halmashauri penyewe ofisi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.