Hakuna uchochezi hapa. Kizazi cha sasa si kile cha "ndiyo mwalimu, ndiyo mwalimu!". Kwa maana nyingine,"Kizazi hiki hakimjui Yusufu(Waziri mkuu wa Farao). Hawa wa leo, hawajui TAA, Hawajui TANU, wala Mwl. Nyerere" hiki ni kizazi kipya cha rika lile lile la vijana wanamageuzi wa Tunisia, Libya...