Recent content by M.Kwidohya

  1. M

    JamiiForums Tanzania malipo kwa pesa za kigeni je ni sawa?

    habari wadau wote wa jf duku duku langu ni juu ya baadhi ya tozo za serikali kulipwa kwa pesa za kigeni nini tafsida ya mwenendo huu je pesa yetu ni ya madafu kweli au ndio kuwapa kipa umbele wa nyonyaji aka wawekezaji ukikaa na kutumia jicho la tatu utaona kuna kaujanja katumikapo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mafuriko makubwa yatokea wilayani Dumila,barabara ya Morogoro-Dodoma yafungwa

    mafuriko yamesomba daraja la Dumila sasa hivi watu wanazunguka arusha wengine mbeya no road cnnctn betwn moro and dom
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mafuriko makubwa yatokea wilayani Dumila,barabara ya Morogoro-Dodoma yafungwa

    asubuhi nilipost mod ukatoa
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mbunge wa Chalinze (Said Bwanamdogo) afariki dunia

    R.I.P mh
  5. M

    JamiiForums Tanzania KATIBA MPYA IJE TU!! Kuna Wabunge wazee lakini bado wameng'ang'ia Bungeni.

    mi sioni kosa lao wenye makosa ni sisi wananchi kwanini tunawapa kama tunaona awafai tuacheni majungu tuwe tunapiga kula sio kila siku ooooh huyu afai mara nini
  6. M

    JamiiForums Tanzania Foleni ya Mabatini Mwanza ni uzembe tu!

    ni kweli bt mi nafikiri matuta pia yana changia hyo kitu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushabiki na unafiki wa tanzania

    natumia asha 302 nifundishe kuweka symbol
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushabiki na unafiki wa tanzania

    mi ni binadamu pia sijui yote so nipo tayari kwenye mapungufu kufundishwa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushabiki na unafiki wa tanzania

    si unajua umasikini tena simu kimeo ndugu zangu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushabiki na unafiki wa tanzania

    salaam sana wa kubwa na wadogo ni matumaini yangu sote ni wazima nimeamua kuleta maono yangu kwenu kama ndugu na Mtanzania mwenzenu na sikitika sana ndugu zangu kuona tuna potea na kupotoshwa na ushabiki usio na nyuma wala mbele inakuaje leo fisadi tulie msema na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    ndassa
  12. M

    JamiiForums Tanzania USHAHIDI wa NYARAKA zinazomuhusu Zitto Zuber Kabwe

    kweli siasa imekosa wanasiasa wamebaki wapiga kelele nw kila mtu anaongea pumba....hivi mnajua umhmu wenu kwenye hii nchi mnapenda umaarufu wakishamba kama mmeshindwa fungeni chama watu tunawapa madaraka nw mnajenga makundi mnatuzingua
  13. M

    JamiiForums Tanzania wanachama wa CCM warudisha kadi mbele ya mbunge wao

    baba akufukuzae akuambii toka.....mzeee
  14. M

    JamiiForums Tanzania wanachama wa CCM warudisha kadi mbele ya mbunge wao

    kweli Tanzania ya mambumbu kwishinei
  15. M

    JamiiForums Tanzania Arusha wamvua nguo MIzengo Pinda!!

    nimeona hyo kitu itv noma sana
Back
Top Bottom