wanachama wa CCM warudisha kadi mbele ya mbunge wao

wanachama wa CCM warudisha kadi mbele ya mbunge wao

M.Kwidohya

Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
61
Reaction score
7
mwananchi wa mwilaba wamerudisha kadi za ccm mbele ya mbunge wao mh lugola baada ya kuchoshwa na rushwa mahakani na diwani wao baad ya kutishia kuchoma moto mahakama
 
yan hata mie niona itv nimeshanga na ile style waliyo kuwa wanaitumia imenifurahisha sana mpaka kangi akawa anashanga sana na wananchi walikuwa majasiri kuzungumza kuwa walikuwa wamepanga kwenda kuchoma mahakama.
Nawashauri chadema wapeleke mashambulizi pale wakajichukulie wanachama wako wengi wa kumwaga
 
wananchi wa mwibala wamemrudishia kadi za ccm mbunge wao mh lugola baada ya kuchoshwa na rushwa mahakani na diwani wao na kutishia kuchoma moto mahakama
 
Ni faraja kila mara tunaposikia/kuona wananchi wakiamka na kudai haki zao. Bila shaka ni mojawapo ya matunda ya elimu ya uraia
 
Hiyo ni trailer tu na Watanzania wote siku moja watasema sasa imetosha na wataungana wote kutaka mabadiliko.
 
Kwani mbunge anazuia rushwa mahakamani wao wachome tu kesi zao ziwe zinapelekwa dar es salaam.
 
sipendi hata kusikia hilo jina ccm!! Ila miongoni mwa wabunge ninaowakubali kwa kuwapa somo wananchi wake ni huyu Kangi lugora,huyu ni kamanda haswa!!hafanani na gamba kabisa,na siyo mnafiki,tatizo ni hilo chama lake tu.
 
Mbona ni muendelezo si juzi nchimbi kapopotolewa mimawe ,mwenyekiti mwenyewe kahutubia mkutano wa ccm wa mwwisho anawaaga na kuwashauri na wao wakaage
 
Huwa wanatoka na kurudi hivyo hivyo.
1391692_190705191114505_2081999932_n.jpg
 
wananchi wa mwibala wamemrudishia kadi za ccm mbunge wao mh lugola baada ya kuchoshwa na rushwa mahakani na diwani wao na kutishia kuchoma moto mahakama
ndiyo maana mmbunge huyu huwa anaongea kwa msisitizo sana awapo bungeni nafikiri anawajua wananchi wake hawana mchezo , kuna wakati walidai ni chadema muandaliwa
 
sipendi hata kusikia hilo jina ccm!! Ila miongoni mwa wabunge ninaowakubali kwa kuwapa somo wananchi wake ni huyu Kangi lugora,huyu ni kamanda haswa!!hafanani na gamba kabisa,na siyo mnafiki,tatizo ni hilo chama lake tu.

Kangi lugola , filikunjombe hawa wako kwenye mioyo ya watanzania japo wapo kwenye chama cha majambazi lakini hawa wame stand out of crowd kuyaacha majambazi yaendelee kuuza nchi
 
ndiyo maana mmbunge huyu huwa anaongea kwa msisitizo sana awapo bungeni nafikiri anawajua wananchi wake hawana mchezo , kuna wakati walidai ni chadema muandaliwa

eti eeeeee!
Je like gamba linalodai kupewa posa na mkulu haliendi tena hapo kugombea?
Nalisikia huwa linajifariji kuwa lina huo mpango na ndo maaana haliishi kufuta viatu vya wakubwa.
Kwa hali niliyoiona namshauri aende akalime vinginevyo aende akaombe kazi upya Chanel ten kama walishamtimua.
 
Back
Top Bottom