Kuna series moja aliuliza mdau, nami natamani kuifahamu au kupata jina lake.
Inaanza kwa kuonesha jamaa mmoja anapitia changamoto kweny kulea wadogo zake baada ya baba (wazazi wake) kufia kweny Mines za makaa ya mawe.
Baadae alikuja kukua na kutafta namna ya kupata haki au fidia ya mzee wake...
Jamani ile series ilofahamika kwa jina la GLASS MASK. Naomba jina lake kamilia maake najarbu kudownload siipati. Au mwenye link yenye HD kuanzia 720p
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Wadau naombeni list ya drama zenye love story kali, na visasi vya kimapenzi.
Na ambaye anafahamu site ambayo naweza download season complete bila kuchagua epsode moja moja pls.
Nachoka kupambana na ads.
Msaada tafadhal
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Samahani kwa kuingilia uzi wako ila naomba kujua kuhusu hyo unlimited bundle mnayotumia. Ni hizi bundle wanazotoa Vodacom kwa 115k au 120k kulingana na uhitaji wako. (Niliona tangazo huko insta wanadai wanatumia line za voda then wanakupa kifaa cha kushare hyo wifi ).
Vp speed yake?
Nima...
Wadau mimi naomba link au website naweza download korean series ikiwa HD angalau hata 720p
Nyingi naona ukiweka kweny TV kuanzia inch 32 inakuwa haina mvuto tena kuangalia.
Ngoja aendelee kuamini kuwa unatupanga! Mimi sio mchangiaji mada sana na sidhan nishawahi kucomment kweny huu uzi. Ila nilipoelewa nachotakiwa kufnya nilienda direct inbox na nikapata majbu na hvi ninavoandika tayari nishapata Mzigo wangu.
Siandiki kumshawishi mtu ila baada ya maswal kadhaa na...
Wadau naomba ushauri kati ya hizo pikipiki mbili. Nahitaj kununua kwa matumiz binafasi sio boda boda.
Kw uelewa mdogo ni kwamba TVS ni pikpiki iliyotengenezwa na mhindi na Haojue ni Mchina.
Naomba ushauri ipi nichukue kama una uzoefu au hata elimu kidogo kuhusu pikipiki.
Tuzingatie pia...
Naomba ushaur katika mashine ya photocopy, ambayo ni bora kwa maana ya matumizi ya shule kama mitihani na ofisini. Pia tukizingtia kigezo cha wino. Maake nmeambiwa kuna zingne wino wake ni ghari sana. Hasa ikiwa mpya itapendeza zaidi.
Hbr wana jamvi, nina bajeti ya Tsh 350,000/= Je ni Tv gani nzur ya kununua. ?
Mawazo nilionayo ninunue LG inch 24 au Star X inch 32.
Ushaur wa brand nyingne unaruhusiwa pia?
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.