Recent content by M-FINANCE

  1. M-FINANCE

    Nataka Gari Nina Tsh 10M Madalali karibuni

    Hey nataka gari aina moja wapo KAti y’a hizi Usajili iwe namba D njoo tumalize Biashara mapema 1. Kluger 2. Harrier 3. Murano 4. Dualis
  2. M-FINANCE

    Dkt. Mollel: Ni ujinga Waziri kutoa Data za Walioathiriwa na Corona kila siku. Bei ya chanjo ni Tsh 400,000

    Naibu waziri akieleza sababu za kwanini Serikali hawataki Chanjo ataja na sababu nyingine Muhimu kuwa chanjo moja Ni 400,000 Tzsh yaan gharama kubwa sana. Hilo,
  3. M-FINANCE

    Nataka Mkopo wa haraka wa Milion 4.5 naweka gari Dhamana

    Nataka mkopo wa 4.5m Kabla ya saa 10, naweka gari dhamana, kwakweli nina shida ya haraka, Mashart ntayafuata atakayo Gari ni Vits new model ya mwaka 2009, Napatikana Dar as salaam
  4. M-FINANCE

    Utaratibu wa Mikopo midogo midogo kwa Bukoba Mjini- Wakopeshaji

    Nani mwenye kuwajua wakopeshaji Binafsi kwa Kagera? Kiwango kinachoanzia angalau 5m and above Tuwasiliane kuna jambo la joint
  5. M-FINANCE

    Hofu ya CCM ya Magufuli 2020 ni Hatari kwa nchi

    Zitto pambana na yako kwanza
  6. M-FINANCE

    China yapendekeza ni vema wakutane na Marekani kumaliza mzozo wa Biashara

    China kasalimu amri kiaina, maana soko LA Bidhaa zao zimeporomoka kwa kasi hasa simu na Ipad, Tishio kubwa ilikuwa kuondoa Application za Play store, kungekuwa na tragedy moja balaaa
  7. M-FINANCE

    Kwanini vichaa wengi hunasibishwa na Usalama wa Taifa? Inakera sana

    Ndiyo huyo yupo kitengo cha usalama wa Taifa ndani ya wasanii
  8. M-FINANCE

    Kwanini vichaa wengi hunasibishwa na Usalama wa Taifa? Inakera sana

    Mkuu kuna jamaa mmoja anajifanyaga kichaa anakaa feri, yule ni afisa usalama wa Taifa,
Back
Top Bottom