Recent content by M CM

  1. M CM

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu amesema yeye kuwa Rais ni Kichekesho haiwezekani bado sana

    Madalali wa kisiasa wapo kazini ili wapate Chao kutoka CCM.
  2. M CM

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Dawa kiboko ya kuangamiza popo inapatikana

    Mkuu hiyo dawa popo Bado ipo na bei yake Bado haijashuka?
  3. M CM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa mimi na wanawake basi, inatosha!

    Mkuu pole. Mpaka sasa hakuna aliyegundua hitaji haswa la mwanamke ni nini bila shaka hata shetani hajui hitaji ta mwanamke.
  4. M CM

    JamiiForums Tanzania Kutenguliwa Nape na Makamba: Nampongeza Rais, walishaanza kujisahau

    Safu mpya ya ushambuliaji 2025 inaandiliwa
  5. M CM

    JamiiForums Tanzania Nina amkiwa sana. Hivi ndiyo nishakua mhenga hivi au ndo wameona sina hela?

    Msuli wa SUA umekuzeesha Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M CM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada zetu wengi wanapambana kuolewa na wazungu tu

    Hapa mtaani kwangu napoishi Kuna jirani kajenga nyumba imekwama kwenye box Bado hajaipauwa Kwa miaka miwili Sasa. Juzi mwenye nyumba kamtuma mke wake kuwaonyesha nyumba hii dada mmoja mwenye mtoto wa kizungu akiambatana na zee la kizunguu wanataka kununua hii nyumba. Yaonekana Hawa jamaa siyo...
  7. M CM

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza magari kwa cash na mkopo pia tunaagiza magari nchi mbalimbali

    Maelezo bila picha inakosa mvuto tushawishi Kwa picha na bei elekezi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M CM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina miaka zaidi ya 25 na sina mume wala mtoto, nachanganyikiwa

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2064274/ Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M CM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina miaka zaidi ya 25 na sina mume wala mtoto, nachanganyikiwa

    Kuna post unatafuta mume na Sasa tukueleweje? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M CM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza wa Maisha (mwanaume)

    Legeza masharti hasa dini
  11. M CM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    @sweat candy karibu pm
  12. M CM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Hapo utakuwa unatafuta mwekezaji na siyo mume. Bila shaka DP world itakufaa Kwa hiyo mil 100
  13. M CM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tumefeli kuanzia chumbani, sebuleni, nyumbani, mtaani, ibadani hadi juu kabisa kwenye kiti cha enzi mbinguni

    Kweli hata rafiki yenu wa karibu ni shetani
  14. M CM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume walioko humu ambao ningependa kuonana nao face to face

    Hii imeeenda kabisa
Back
Top Bottom