Upotoshaji hauwasaidii chochote
Wilaya ya Uyui ilikuwa na Vijiji 15 vyenye Uchaguzi na Vitongoji 58
CCM imeshinda Vijiji 14 kati ya 15
CCM imeshinda Vitongoji 51
Chadema 7
Binafsi nilisimamia Kata ya Ibelamilundi iliyokuwa na vitongoji 6ambavyo vyote vile kwenda CCM
Wana JF nimefanya Jitihada Binafsi kuweka kuwatambua waliofaidika na wizi wa. Fedha za IPTL
nitaendelea kuwapatia majina hapa ila jambo la msingi mfahamu kuwa Ripoti ya CAG na PCCB zimefanana kwa zaidi ya asilimia 99,na sasa kuna jitihada za kuwaokoa baadhi ya wakubwa, akiwemo GAVANA na AG...
Katika kuelekea kinyanganyiro cha URAIS 2015, AFISA wa usalama wa siku nyingi Mhe Membe inasemekana amekasirishwa sana na habari za kusemekana kwamba familia ya Rais Kikwete haina mpango naye tena kwenye urais na wamehamishia Nguvu kwa Mwigulu.
Kwasababu hizo ameamua kumvuruga Rais kupitia...
Katika kile kinachoonekana kutunishiana misuli kati ya Mkiti wa CCM Mkoa na RC Tabora wiki iliyopita RC alifanya mkutano mkutano mkubwa ambapo aliwaita wenyeviti wote wa CCM wa wilaya zote za Mkoa wa Tabora na kuwapa msimamo wake juu ya kutetea wakulima wa Tumbaku ambapo walimuunga mkono huku...
Mimi ni Mfanyakazi wa H/shauri ya nzega huyu jamaa ni muongo na mpotoshaji Magamba wamemshughulikia kwakua alisema CCM ni Mzigo na Madiwani aw CCM nzg ni Mizigo ya Mavi,na 2010 wana nzega mjini mlifanya maamuzi sahihi kumpa kura Dk slaa Urais,ubunge mkanipa mm,udiwani Cuf hiki chama ni...
Nina furahi sana kila ninapoona andiko la Lowassa! ni kiongozi anayetajwa kutwa mara 1000, kama ni mwizi kwa nini asipelekwe mahakamani, aliiba nini? alimwibia nani? wote mnao sumbuliwa na jina le mnaugua ugonjwa wa Urais 2015 ambao hakuna wa kumzuia, nakumbuka hata wakati JK Jnr akijianda...
Zinakuja link za mama Yake Mzazi amehojiwa Akiwa Tabora,mzee huyu alifika kuomba Msaada na kwakua ni mtu ambae amefanya kazi ktk vyombo vya Habari hakufika kumdhalilisha mwanae Bali kuongelea tatiizo lake mengine yamejitokeza ktk Mahojiano
Wana Jamvi,
Kwa heshima kubwa nimeona niletee Mahojiano haya na Baba Mzazi wa Ndg yetu Daktari Hamisi kigwangallah akiomba Msaada wa Matibabu.
Nimeamua kuyaleta hapa Mimi ni member wa jukwaa la Friends of Membe tuna jukwaa letu kupitia Simu zetu na Mbunge huyu ni Mmoja wetu Kule,ktk mijadala...
Ndg wana Jf baada ya kusoma Uzi uliowekwa hapa wa mahojiano ya Ridhwani Kikwete Niliamua kuingia Maktaba hapa chuoni kujiridha kulitazama Gazeti na mahojiano aliofanya na Mwandishi Jacton Manyerere.
Nilichojifunza aliebandika andiko ameamua kuondoa baadhi ya mambo kwa maslahi anayofahamu,kitu...
Katika kuonyesha kuwa jasiri haachi asili, mbunge kijana na tegemeo la wana Nzega, kama ilivyo kawaida yake leo amemtwanga Ngumi mzee mwenye umri wa zaidi ya miaka 56 ambaye ni mjumbe wa kamati ya fedha wilaya ya Nzega.
Hayo yametokea baada ya Kigwangala kushindwa kujenga hoja thabiti...
Kijana Hussen Mohamed Bashe! maarufu hapa kwetu Nzega" KAYANDA"! anazidi kuwaonyesha wakazi wa Nzega na Taifa kwa ujumla kuwa pamoja na maswaibu yote yanayomkuta katika medani za kisiasa bado ni kipenzi cha wana NZega baada ya jana kushinda nafasi nyeti pasipo yeye kuwepo, Bashe ambaye ni mjumbe...
Jk alisema tumetoka wote wa moja Dodoma na CCM haijagawanyika, kama ni kweli Membe ana wazo la kumburuza Bashe kortini ina maana anapingana maneno ya Jk ? je ni kweli malumbano ya kichama yaweza kwenda kortini bila kupitia vikao vya chama? au ni njia muafaka ya Membe kupata huruma ya jamii baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.