Recent content by m.agape

  1. m.agape

    Nipeni shule ya DSE (Dar es salaam Stock Exchange)

    Hisa huwa zinasoma kwenye account yako baada ya siku tatu za kazi. Kuwa na amani.
  2. m.agape

    Wanawake mnaojenga nyumba kwa siri bila mwenza kujua huwa mnamaanisha nini?

    Aliniondoa kwenye biashara ya familia. Nikafanikiwa kupata kazi kwenye duka la ujenzi. Ndugu wakamharibia biashara ikabidi awe anasimama mwenyewe. Alikutana nae safarini ndio kuelekezana biashara ya mazao na kuanza kushirikiana. Kwa sababu duka liko nyumbani hivyo muda mwingi walikuwa pamoja.
  3. m.agape

    Wanawake mnaojenga nyumba kwa siri bila mwenza kujua huwa mnamaanisha nini?

    Kuona nimemzidi maarifa akachukua hela zangu za akiba akasema anaenda kuanza maisha mbali. Kumbe walishaanza biashara ya mazao na huyo mwanamke, wakadhulumiana huko ndio kuachana. Ndani ya wiki mbili akarudi nyumbani akaforce tuhamie kwenye hiyo nyumba kutokana na aibu aliyoipata. Sasa tuko...
  4. m.agape

    Wanawake mnaojenga nyumba kwa siri bila mwenza kujua huwa mnamaanisha nini?

    Mimi binafsi nilijenga kwa hasira, na wala sijui hata hizo pesa nilipatapata vipi. Mwanaume alikuwa analeta mwanamke wake hadi nyumbani na kuwatambulisha watoto huyu ndie mama yenu mdogo. Pesa niliyokuwa natoa ya matumizi, atoe komandi apelekewe chakula na mgeni wake(mchepuko). Kufukuzwa kila...
  5. m.agape

    Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

    LIVE YOUR LIFE TO THE FULLEST. HAIJALISHI WATU WATASEMA NINI. FANYA KILE KINACHOKUPA FURAHA, ILI MRADI USIVUNJE SHERIA
  6. m.agape

    Responded NMB wagoma kurudisha hati ya nyumba, japo deni lao limeshalipwa lote

    Kama unaweza kumsaidia huyu mama. Fanya hivyo tafadhali.
  7. m.agape

    Ila UTT AMISS ni bonge la mchongo

    GOD BLESS YOU. HILI SOMO NIMELITAFUTA BILA MAFANIKIO. ASANTE SANA. UMENIONGEZEA MAARIFA. NGOJA NIKIMBIE CHAP NIKAWEKEZE
  8. m.agape

    Hati fungani za NMB

    Habari wanajamvi. Penye wengi hapakosi neno. Nimepata hiyo meseji hapo chini kutoka NMB. NAOMBA YEYOTE ANAEJUA KUHUSU HATI FUNGANI, ANIPE DARASA KIDOGO. Ndugu Mteja, faidika na gawio la 9.5% kila baada ya miezi 3 kwa kununua hati fungani (Jamii Bond) kupitia benki ya NMB. Dirisha litafungwa...
  9. m.agape

    Jengea tofali imara za Mwamba za Holili Rombo Kilimanjaro

    Hizi tofali mnazo hapo saba saba au mpaka msafirishe?
  10. m.agape

    Virutubisho muhimu kwa ukuaji Bora wa Ubongo wa Mtoto

    Dagaa mwanangu zinamletea alegy anatoka vipele mno
  11. m.agape

    Serikali fanyieni kazi Matapeli Wengine hawa hapa. Wanajitangaza bila woga kabisa. Nchi imekuwa kama haina mwenyewe

    Matapeli wakubwa Hawa. NARUDIA USITHUBUTU KUWEKEZA HUKO, UTAPIGWA NA KITU KIZITO.
  12. m.agape

    Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuwaibia watanzania

    Kulikuwa na CHAMPION INVESTMENT ya Mwanza huko.
Back
Top Bottom