Recent content by Lyrics Master

  1. Lyrics Master

    Ipeni Dar es salaam Young Africa (Yanga) heshima yake

    haya ndio mambo mashabiki wa Simba mnaweza kupost hamnaga hoja
  2. Lyrics Master

    Ipeni Dar es salaam Young Africa (Yanga) heshima yake

    sentence yako haifichi ukweli kwamba YANGA ndio team bora hapa Tanzania
  3. Lyrics Master

    Ipeni Dar es salaam Young Africa (Yanga) heshima yake

    Katika pita pita zangu mitandaoni, nimeshuhudia kauli zinazoshangaza ,eti Yanga inamuogopa Simba! Jamani, kweli hii ni Yanga mnayozungumzia? au kuna Yanga nyingine? Hakuna timu hapa Tanzania inayoweza kumtisha Yanga! Ni ipi hiyo? Haipo! Yanga ni mfalme wa soka la Tanzania, na historia...
  4. Lyrics Master

    Van Dame(Sinza), Yesu (Mbeya) kati ya Wababe waliowahi tikisa Tanzania

    ayaaaaaaaa daaah Sinde ya John David JD aiseeeee kitambo sana..mimi nimesoma Maanga ya Mwalimu Mwapongo na Kanjoka
  5. Lyrics Master

    Van Dame(Sinza), Yesu (Mbeya) kati ya Wababe waliowahi tikisa Tanzania

    Daah i miss mbeya wallah...mimi nimekulia Makunguru hapo karibu na shule ya Mkapa english medium
  6. Lyrics Master

    Van Dame(Sinza), Yesu (Mbeya) kati ya Wababe waliowahi tikisa Tanzania

    DAAAAAAH ZEBE ni kama bado yupo amezeeka
  7. Lyrics Master

    Van Dame(Sinza), Yesu (Mbeya) kati ya Wababe waliowahi tikisa Tanzania

    upo sahihi kaka, SHETANI 'SHETTA' NA YESU walikuwa washikaji mno na walikuwa hawajawahi kugombana.... walikuwa na baiskeli zao flani hivi...kipindi hicho ilikuwa balaa mitaa ya mafiati,mwanjelwa stand na juakali,isanga kule ilikuwa noma...wababe wakutosha akina Dunda,Kwendi, Magege, Elia, Essau...
  8. Lyrics Master

    Wimbo gani wa Hip Hop/Bongo Flava ambao hujasahau mistari yake?

    Daily Nitasimama kama kichwa changu asubuhi
  9. Lyrics Master

    Nizikwe hai

    Mpaka naja jionea mwenyewe kwa macho yangu, Nishasikia ila sikuamini asilani, Hadi nahisi hata nizikwe hai nisiishi.
  10. Lyrics Master

    Kumbukizi ya Juma Kassim Kiroboto "Nature" na ngoma ya umoja wa Tanzania

    Juma Kassim Kiroboto, maarufu kama "Nature", "Kibla", "Sir Nature", "Msitu wa Vina", na "Jitu Mwitu", ni jina linalobaki mioyoni mwa wengi kama alama ya sanaa yenye ladha ya uswahili halisi. Kipaji chake kilichotiririka kwa ustadi na ubunifu wa kipekee kiliakisi maisha ya mitaani, yakiambatana...
  11. Lyrics Master

    Kifo cha Mandojo pigo kwa wapenzi wa Bongofleva middle age

    Leo hii, ulimwengu wa muziki umepata pigo kubwa sana kwa kifo cha Mandojo, msanii maarufu aliyejulikana kwa umahiri wake wa kuimba na kupiga gitaa. Mandojo, ambaye jina lake kamili ni Joseph Francis, amefariki kwa njia isiyosadikika—kupigwa hadi kufa baada ya kudhaniwa kuwa ni mwizi. Tukio hili...
  12. Lyrics Master

    Leo nimeokoka na kumkabidhi Yesu maisha yangu

    naendelea vizuri na maisha yangu ya wokovu
Back
Top Bottom