Recent content by Lyetu

  1. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Si kila Mwanamke hapa duniani ni wa kuolewa na kuzaa, wengine wapo ili kukidhi haja za Mwanaume

    Hata woa wanalijua hilo, pia wanajua sio kila mwanaume anaweza kuwaoa ndomana wamekupiga tukio wakasepa. Pole sana mkuu, ni mwendo wa kuviziana tu
  2. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Wakazi zaidi ya 60 Klyamatundu Rukwa wapatiwa hati miliki za ardhi, wahimizwa kujiandaa kutumia e-ARDHI

    Hongereni sana kwa kazi nzuri haswa upande wa mfumo wa e-ardhi. Ila kumekuwepo na changamoto ya kupata plan number haswa kwa waombaji wa Hati kwenye mfumo ambao wamenunua viwanja Tausi. Mchakato wa kupata plan number unahitaji kufika ofisi ya Ardhi halmashauri husika. Kuna uwezekano mkubwa...
  3. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Sioni ni kwanini askari wasizime vurugu za Oktoba 29, 2025 kwa risasi. Ningewashangaa

    Mimi niliekuwepo karibu na eneo la tukio unadhani unaweza kunihadaa na documentary iliyoandaliwa na mtu amekaa Nairobi ofisini? Risasi zinaanza kurindima mida ya sa1 jioni mimi nilikimbia Villa karibu na Rock city mall kutafuta chipsi baada ya kukagua maeneo ya kirumba polisi hadi mwaloni...
  4. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Sioni ni kwanini askari wasizime vurugu za Oktoba 29, 2025 kwa risasi. Ningewashangaa

    Hapa unapuyanga kwa story za kuambiwa mkuu. Uchaguzi ulienda fresh kata ya Kitangiri ambako ni kata ya jirani na hapo kwenye hilo Banda, ila jioni kukawa na ucheleweshaji wa matokeo na wananchi walikuwa wanamtaka diwani wao aliyehama kutoka ccm kwenda act, vurugu zikaanzia hapo na risasi...
  5. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Kwa dalili zote hizi, bado tu huamini kuwa Yesu Yu karibu kurudi?!

    Kwahiyo hayo uliyoyataja kuwa yatatokea kudhihirisha ujio wake tuyaite dhambi za wanadamu au neno linatimia? Kama Alisema yatatokea na yametokea it means Yako nje ya uwezo wa mwanadamu, Yako planned. Kwanini tunalaumiana wanadamu na tunaitana watenda dhambi kwamambo ambayo Yako planned tayari...
  6. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda na pongezi kwa mifumo ya TAUSI na e-ARDHI

    Kwa uzeoefu wangu hakuna jambo lingine linakuhitaji ufike ofisi yoyote zaidi ya kwenda kuchukua Hati kwa kamishna wa Ardhi mkoa husika. Japo nitafatilia kwa kamishna wa mkoa wangu kujua kama hiyo plan number inaweza kuombwa online pia.
  7. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda na pongezi kwa mifumo ya TAUSI na e-ARDHI

    Pole sana. Sehemu uliyofika inahitaji uwe na namba ya ramani ya upimaji pia kiwanja kipandishwe kwenye mfumo ili uendelee na ombi la Hati. Kwa uzoefu wangu nilikuwa naipata hiyo huduma ofisi ya halmashauri, nilienda na invoice kutoka Tausi na kitambulisho cha Nida. Hiyo ndiyo ilikuwa safari...
  8. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda na pongezi kwa mifumo ya TAUSI na e-ARDHI

    Nikwema mkuu, umeshapata msaada?
  9. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Hizi ni bei za mahari ambapo ukiambiwa zaidi ya hizi kwa kila sifa umeliwa uwe na hela au hauna hela

    Mahari ni upuuzi ambao kijana wa sasa hapaswi kuuwaza hata kidogo. Sio kilakitu walichofanya hawa wazee lazima nasisi tufanye, hata kama hakina faida yoyote. Nilienda kwa wasukuma, kabila ambalo lilikuwa na ng'ombe wengi sana, ila kwasasa familia nyingi ni masikini, ukiwauliza shida ninini...
  10. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Mary Claire: Sikumlazimisha anilipie ada na sikujua kuwa ameoa

    Kama unaweka pesa umbakize mwanamke, basi atakuja mwenye akili kama zako za kutumia pesa kuwa na mwanamke ataweka pesa nyingi kukuzidi na atamchukua.
  11. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Mary Claire: Sikumlazimisha anilipie ada na sikujua kuwa ameoa

    Wanaume sisi ni wajinga sana kwenye mapenzi. Tunasomesha sio kwamba tunapenda sana wapenzi wetu wawe na elimu, hapana. Tunasomesha kuongeza ushawishi ili tupendwe, tunasomesha ili kuweka mipaka mwanamke awe wa pekeyetu. Sasa kama wewe unaweka ada mezani ili mwanamke ashawishike kubaki kwako...
  12. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

    Wakati huyo mwanaume anaitumikia familia nayeye kama mke akiwa amekaa tu hapo home analishwa, anavishwa, anatibiwa, mmewake alikuja hapa kulalamika?
  13. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

    Pesa inayotafutwa na wanandoa nikwajili ya familia. Mtoa mada pesa yake inaitumikia familia yake, shida iko wapi?
  14. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

    Nilipoona tu Pesa yangu Pesa yake Biashara yangu Alimkataa mtoto Moja kwa moja wewe ni mbinafsi, hata jamaa akipata kazi bado kuna changamoto nyingine zitaibuka humo ndani, Kwani yeye kabla ya kupoteza kazi alikuwa anatafuta pesa kwajili ya nani? Nawewe unatafuta kwajili ya nani? Endelea...
  15. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Wabunge viti maalumu ni mzigo kwa Taifa

    Bunge la Tanzania lina zaidi ya wabunge 100 wa viti maalumu. Hawa watu mchango wao ni upi kwa Taifa? Nikweli nchi yenye uchumi wa chini kama Tanzania tunahitaji kurundika watu wote hao bungeni? Ili kupunguza matumizi yasiyo ya lazima, idadi hiyo ipunguzwe hadi idadi ya wabunge wa viti maalumu...
Back
Top Bottom