Sawa. Kesho ni Jumapili, sidhani kama utaukuta utawala. Ila kazi huwa zinaendelea. Ni Kampuni, ila sijui taratibu za malipo. Kufika kwa miguu, yawezekana. Tatizo sina uwezo wa kukuelekeza kwa njia ili ufike. Pia Niko na namba za mmoja wa watumishi pale. Ila sina ridhaa ya kukupa mpaka nimjulishe...
Fika pale kituo cha nguvu kazi cha daladala. Kuna madereva wa bodaboda, waambie wakupeleke mabanda ya kuku. Huko utapata taratibu zote za kuingia kazini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.