Heshima mbele wadau,
Hawa watu wa mitandao ya Tigo pamoja na M-Pesa wamefanya hizi laini zao za M-Pesa na Tigo Pesa kuwa kama biashara ya Madawa ya kulevya.
Ukifuata mfumo uliowekwa haupati katu abadani, itakuchukua hata mwaka kuzipata. Ni bora hata hao Tigo kidogo wana uhafadhali coz wanatumia...
Heshima mbele wakuu,
Ninategemea kupokea mgeni/raia kutoka nchi za ng'ambo, Ningependa kujua afate taratibu zipi akiwa huko kwao nami pia nifanye nini huku ili kurahisisha zoezi hili.
Aksante wadau
Lyandembela1
Heshima mbele wakuu,
Shemeji yenu alijifungua kwa njia ya upasuaji mwaka na nusu umepita sasa, lakini kila uchao tumbo halipungui utadhani ana nyingine. Na nikumwambia atafute namna ya kupunguza kanambia kuwa mwanamke akijifungua kwa njia ya upasuaji tumbo haliwezi kuwa dogo kamwe.
Je kuna...
Habari wadau, Poleni na majukumu ya kila siku.
Wadau baada ya siku mbili nikifanya tendo la ndoa mgongo unaniuma kama unataka kukatika flani hivi. Msaada katika hili nini chanzo na matibabu yake. MziziMkavu Watu8 au yeyeto anayejua tatizo hili tafadhali.
Lyandembela1.
Kwa maono yangu wangeomba kujengewa chuo kikuu au kukiimarisha kile chetu cha Mororgoro, kama miskiti tunayo ya kutosha sana. hata nyumbani kwetu tunao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.