Recent content by lwebugisa

  1. lwebugisa

    KOZI HEWA

    Pamoja wakuu
  2. lwebugisa

    KOZI HEWA

    Naombeni kujua utaratibu na hatua za kuchukua pale chuo kinapodaili kozi ambazo hazipo au hazijasajiliwa katika chuo hicho. Mf: umedailiwa kozi fulani katika chuo fulani alafu inafika mwisho wa masomo jina lako halirudi katika wale watakaofanya final exams na wakati una sifa ila chuo...
  3. lwebugisa

    Usanii mpya wajitokeza Tanzania

    bonge la ratiba bt too late
  4. lwebugisa

    Kashfa za magufuli mikononi mwa "wabaya"wake

    Hakuna mwanasiasa msafi, rejea kauli ya Mbowe jana.
  5. lwebugisa

    Leo gazeti la MwanaHalisi ni fungakazi!!!!!

    mkuu umetuacha njia panda wengine tupo mikoani kupata magazeti mpaka baada siku mbili. ebu tupe japo muhitasri
  6. lwebugisa

    Hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi Februari, 2011

    Mfa maji haishi kutapatapa siku zote
  7. lwebugisa

    Afa Akiongeza Makalio

    Aliaye kavaa miwani basi machozi yatamuumbua! hata bongo wapo wengi........................... me naamini uzuri wa nyumba sio mlango!....... tujifunze kupitia yeye. :sad::sad::sad: very bad
Back
Top Bottom