Afa Akiongeza Makalio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afa Akiongeza Makalio

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by AK-47, Feb 10, 2011.

 1. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  'Buttocks injection' death: Police quiz woman in US


  US police investigating the death of a woman who received a cosmetic injection in her buttocks in a hotel room have questioned a woman believed to be linked to the procedure.


  Claudia Seye Aderotimi, 20, who had travelled from London, died in hospital in Pennsylvania on Tuesday after an injection of silicone, officials said.


  Police executed a search warrant on Tuesday at the home of a woman believed to have set up the appointment online.


  No arrests have been made in the case.


  Ms Aderotimi, who had been named as Claudia Adusei in earlier media reports, was identified by the Delaware County medical examiner.


  The London resident was pronounced dead early on Tuesday after suffering from chest pains and breathing trouble.


  Ms Aderotimi's cause of death is listed as undetermined, pending further studies.


  The British embassy in Washington said Ms Aderotimi was not a British citizen but had been living in London.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hayo ndiyo malipo ya kutokujikubali...Anyway, pole zake!
   
 3. r

  rmb JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inawezekana hata hizi dawa zinazosemekana za kichina za kuongeza ukubwa wa viungo/maungo zinatumia Silicone. Watumiaji jihadharini na hili, lina madhara jamani
   
 4. b

  bakarikazinja Senior Member

  #4
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 179
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani makubwa hayo ni ****** na wale wanaoongeza sehemu za uume
  :a s 20:
   
 5. A

  Aine JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Pole wakati kashakufa? tuwashauri wale wasipenda kujikubali wajue madhara pia ya kupingana na uumbaji wa Mungu
   
 6. lwebugisa

  lwebugisa Member

  #6
  Feb 10, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Aliaye kavaa miwani basi machozi yatamuumbua! hata bongo wapo wengi........................... me naamini uzuri wa nyumba sio mlango!....... tujifunze kupitia yeye. :sad::sad::sad: very bad
   
 7. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  R.i.p
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  na sisi wanaume tuache kuyahusudisha mno hayo makalio khaaaaa!!!!!! unajua tunaendekeza mnoo hayo madude sasa yanawatesa dada zetu. kuna akina dada wanaishi maisha mazuri sana as if wana masters kumbe kisa wana makalio makubwa tu. utakuta dada kapangishiwa nyumba nzima/kajengewa nyumba, kanunuliwa gari kali, na wengine wanapewa kazi nzuri tu na ma boss kisa eti mwanamke ana **** kubwa. wapo nawafahamu hata hapa nnapofanyia kazi kuna akina dada wanayo ya haja hata elimu hawana lkn wanapewa vitengo na ma boss wazinzi. Kuna kidemu flani hivi kina shepu nzuri tu kuna boss mmoja wa marketing alikuwa anakikodishia TAX toka job kikitoka siku za weekend mpaka bagamoyo ili tu akakitafune tena kwa kuruka ukuta, na sasa kimeolewa nasikia wakati ana deliver kid ilikuwa suhughuli huko wodini ni wakimwambia sukumaaa, hewaa tu inatoka kwenye tundu. so wadau dada zetu watakufa sana kwa mtindo huu wa kujali haya madude makubwaaa
   
Loading...