Recent content by Luyego

  1. Luyego

    JamiiForums Tanzania Nakala ya asili ya Goetia

    Hadi kufikia halo Kuna shida, ila huo ni ushirikina
  2. Luyego

    JamiiForums Tanzania Nakala ya asili ya Goetia

    Duh sure Mzee, Mi imebidi Hadi niwe nasogeza mbele TU maana hata sielewi, ila naamini Kuna watu wenyewe kujua maana wanaelewa.
  3. Luyego

    JamiiForums Tanzania Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

    Duh pole Sana Mkuu, ila Mungu mwema upon hai Hadi leo
  4. Luyego

    JamiiForums Tanzania Buguruni ni zaidi ya Uwanja wa Fisi

    Tukumbuke pia kutongoza hadi mwanamke akubari kuvua nguo sio kitendo cha usiku mmoja, na baada ya hapo kuna kuwa na mlolongo mrefu was vibomu, sms na aina nyingine nyingi za usumbufu, sa kama unaweza pata huduma ya chapchap kwa buku tatu halfu unachukua 50 zako, which worthy? [emoji12] [emoji12]
  5. Luyego

    JamiiForums Tanzania Buguruni ni zaidi ya Uwanja wa Fisi

    Yeah ni kweli kabisa, eg mi sikuwa na picha halisi ya nn kinaendelea pale, ila sasa kwa uzi huu tyr nimejua huduma chapchap ya kuchachua ukiwa dar inapopatikana
  6. Luyego

    JamiiForums Tanzania Buguruni ni zaidi ya Uwanja wa Fisi

    Na haitakuja tokea hdi mwisho was Dunia, Tamaa ndio core identity ya kila mwanaume
  7. Luyego

    JamiiForums Tanzania Buguruni ni zaidi ya Uwanja wa Fisi

    Kwani ile op kama ya Dom na Tanga Dar haiwezekani?
  8. Luyego

    JamiiForums Tanzania Unamfahamu Sukubasi (Succubus/Succubi)?

    Huwa naelewa sana Post zako Kiongozi Mshana Jr , binafasi ningependa pata nondo zaindi haswa vitabu unavyosoma kupata stori za masukubasi
  9. Luyego

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa watumiaji wa GBWhatsApp

    Hizo zote Gb wanazo, unless kama bado mtu hajaupdate
  10. Luyego

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kula tunda sikujua niingize wapi. Nilisumbuka sana mpaka nilipopewa msaada

    Kabisa, tena yaliyojaaa uongo
  11. Luyego

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Duh [emoji4]
  12. Luyego

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Wapendwa samahani sana naomba kisaidiwa key za window 8.1. Au vision yeyote, asante
  13. Luyego

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Uchaguzi mdogo Singida,Longido na Songea Mjini

    Kwa kulinda usalama na afya za watu, bora hivyo hvyo tu, maana wapige wasipige ccm lazima washinde, ukibishia matokeo cha moto unakiona sa ya kazi gan? Kama vipi hata 2020 Chadema wapige chini tu, abaikie lipumba
  14. Luyego

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kitu gani cha kijinga usingependa kufanyiwa au kuambiwa wakati ukifanya mapenzi?

    Eeeh hapo jibu linaweza kuwa aah we hufanyi kama yeye hebu ongeza speed kidogo[emoji1] [emoji1]
Back
Top Bottom