Kampuni ambayo inalamikiwa sana hipo maeneo ya igogo mkurugenzi wake jina lake linaanza na $ Huyu jamaa akivulugwa na mkewe wafanyakazi siku hiyo akukaliki kosa Si kosa utakatwa pesa ya mshaara
Watanzania tuache siasa kwenye mambo ya msingi Tanzania ni ye2 wote c ya jk, au WARIOBA ni ya watanzania kwa ujumla chamsingi ni kutatua kero sugu zinazotukabili watanzania wa hari ya kawaida. Tukijipanga vizuri na kuweka itikadi zetu za vyama pembeni tutatengeneza katiba bora na yenye kumpa...
Jamani watanzania wenzangu tusiyumbishwe na hawa walafi wachache wa madaraka.tutatue kero zinazotukabili na zitakazojiteza kwa kipindi hiki cha kuelekea kupata katiba bora na yenye mashiko. mungu ibariki Afrika mungu ibariki tanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.