Recent content by Lutumo James

  1. L

    JamiiForums Tanzania Hawa Israel kweli ni wanadamu?

    Mmmmh satan is real
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Hamas waanza kutumia makombora mazito. Waulenga uwanja wa ndege wa kimataifa wa Israel

    They will pay heavy price by ntenyahu Benjamin
  3. L

    JamiiForums Tanzania Historia fupi: Israel haiwezi kuimaliza Palestina sababu walishashindwa toka mwanzo wakiwa taifa la Mungu

    Asante mkuu kwa kutoa unayojua tukusaidie moja Israel haipigani na Palestine kwa sababu Israel no taifa teule Bali inataka kuwalinda watuwake na ardhi yake mbili kupinga kuwa Israel haiwezi kuwaondoa Palestine ni kutilisha upepo maana IDF ni strong Sana kuliko unavyo dhani Tatu kujaribu kupinga...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na Jinamizi hili kila nikilala naomba Msaaada na Ushauri

    Pole Sanaa mkuuu nachoshauri Ni hikii moja chunguza Kama ulishawahi fanya ovu lolote kwa yeyote yule alafu kaombe msamaaha then muombe Mungu serious kabisa yaani follow all principal in prayer Kama acha dhambi ,nyenyekea kwa Mungu , nakuomba usiishie hapo tu Bali mueleze Mungu nn kinakushinda...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa taifa la Israeli

    Mkuu yesu hakuja kwa ajili ya wayahudi Bali kwa ulimwengu ila wayahudi waliomkataa wapo sawa na wewe au Mimi Kama tukimkataa mwisho neno la Mungu halichunguziki kwa maarifa ya kusoma tuuu Bali ya kiroho pia #chochote unachosema juu ya Mungu nakuomba usiishie kunukuuu vifunguuu tu Bali zama...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Vanilla nchini Tanzania

    Mkuu samahani naomba mawasiliano yako ,nahitaji kujua zaidi maana huku niliko watu wanafuatilia kiukaribu hii issue ya vanilla kwa hiyo nakuomba unipe namba yako au Kama ikiwezekana nibip tu namba hii hapa 0673034335, Natanguliza shukrani Asante
Back
Top Bottom