Tuliza akili, huyo mchumba wako kama yuko serious atakuelewa, na ukitumia nguvu kubwa kumuelewesha mchumba wako anaweza kukukubalia ila ataishi kwa mashaka sana. Sasa wewe huyo mchumba wake muache achambue mwenyewe asiporudi atakuwa kakuepusha na janga kwani hata yeye atakuwa ni tatizo.
pia...
nashukuru kunielekeza, lakini ni vema ukaelewa mantiki kuliko kufuatilia uandishi ambayo hayana msingi saana kwa hili linaloendelea, japo kwa shingo upande mpie makofi raisi wetu eee!!!!!
Kwa mara nyingine tena kama kawaida ya Raisi wetu mpendwa ndugu John Joseph Pombe Magufuli, raisi wa wa watu anakwenda kuzindua ndege yetu nyingine, kwa hakika Tanzania inasonga mbele!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.