Recent content by Lutandagula

  1. Lutandagula

    JamiiForums Tanzania Hata Bila ya Uchunguzi wa Polisi Aliyemshambulia Lissu atakuja kutajwa tu

    Hii story uliipata wapi mkuu?
  2. Lutandagula

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kuingiza Ukraine ndani ya NATO waanza rasmi

    Ushabiki mandazj hujui chochote
  3. Lutandagula

    JamiiForums Tanzania Kuna kiongozi alidai eti tutamkumbuka, nani amkumbuke?

    Kama hauna cha kupost sometimes kaa kwa kutulia ukila popcorn!
  4. Lutandagula

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Hemedi Kivuyo yametimia kwa 100%. Taasisi imeyavaa matatizo yake, Hersi ni mtu wa ovyo ovyo

    Mmejaa vinyesi huko nyuma yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sio mimi nasema haya maneno bali alisema Msukule Kanjibay Haji!
  5. Lutandagula

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kurudiana na ex wako na penzi likanoga kama zamani?

    Utayakanyaga tena, acha kabisa!
  6. Lutandagula

    JamiiForums Tanzania Kwanini iwe nongwa viongozi wakuu kupandishwa bus la pamoja UK?

    Kiusalama imekaaje Mkuu? Vip ingetokea terrorism,unapoteza viongozi wote hao kwa pamoja.
  7. Lutandagula

    JamiiForums Tanzania Kuhusu uzazi wa mpango Magufuli alikuwa sahihi 100%

    Kidogo hauko sawa kiakili, jaribu kuwa na uwezo wa kujenga hoja, maneno yasiyo na staha hayasaidii, jibu hoja yake kiungwana!
  8. Lutandagula

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla una sababu ya msingi ya kuendelea kuwa RC Mkoa wa Dar es Salaam?

    Amos tutamsingizia bure, Hawa vijana wanaojiita PanyaRoad wamekosa ajira hasa pale walipowafukuza wanachinga kufanya biashara maeneo ya mjini, walikosa ajira na namna pekee ya kujipatia kipato na kujiajiri ni hicho wanachokifanya, Serikali ilitakiwa kuwaandalia maeneo na mazingira mazuri ili...
  9. Lutandagula

    JamiiForums Tanzania IMF yaidhinishia Tanzania mkopo wa Trilioni 2.4

    Hivi shule bado hazijafunguliwa? Kuna mijinga humu iende shule ikapunguze ujinga angalau robo aisee!
  10. Lutandagula

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Kisinda ruksa kuichezea Yanga

    Huna akili hata ya kadadafua mambo, ndo maana tunajikuta tunajibu tofauti sababu ya kushindwa kuelewa kilichoandikwa au kukurupuka kuchangia mada au kutomaliza kusoma andiko au habari flani,soma tena halafu rudi uandike upya
  11. Lutandagula

    JamiiForums Tanzania Maneno Mazito aliyosema Rais wa Kenya kwa Rais Samia ni ishara ya Tanzania kukubalika Kimataifa

    Mtang'oka siku moji jitieni nta masikioni na machoni pumbavu nyie
  12. Lutandagula

    JamiiForums Tanzania Afande Sele hafahamu kuwa miradi iliyotekelezwa na Rais Samia kipindi hiki ni mingi kuliko wakati mwingine wowote?

    Upo sawa kiakili? au kidogo zimeyumba? Ulichoandika umekielewa? Unajua maana ya Mungu?
  13. Lutandagula

    JamiiForums Tanzania Afande Sele hafahamu kuwa miradi iliyotekelezwa na Rais Samia kipindi hiki ni mingi kuliko wakati mwingine wowote?

    Usiwe mpumbavu na mbumbumbu kiasi hicho, haya masuala ya kijipendekeza ndo yaniua nchi yetu, vijana wengi hasa sifiasifia akili, macho na masikio vimezibwa hii yote ni sababu ya uroho na njaa za matumbo Yao, sometimes tujitambue tusiwe chawa kiasi hicho hadi boss anakuona wewe fala!
Back
Top Bottom