Recent content by Lusungo

  1. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Afcon 2027 kuota mbawa Tanzania, Rwanda kuchukua nafasi

    Nakuuliza tena! Kiwango chenu cha siasa kimefikia hapa???
  2. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Afcon 2027 kuota mbawa Tanzania, Rwanda kuchukua nafasi

    Siasa zenu ndo zimefikia huku?
  3. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Vijana BAVICHA Pwani wamtaka John Heche apishe uchunguzi

    Tuliwaonya sana akina Heche na Lissu juu ya fitina zile za kipindi cha uchaguzi!! Sasa yanawarudia wao
  4. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Bwawa la nyerere limeishia wapi ?

    Inahusiana vipi na nilichoandika? Pambaneni na hali zenu fitina, umbea, majungu na maneno maneno ya kwenye khanga hayatowasaidia kwa chochote!!
  5. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Bwawa la nyerere limeishia wapi ?

    Mtu anashiba kande anachukua smartphone direct kuanzisha mada ambazo Hana hata uelewa nazo ilimradi tu aonekane naye wamo!! Huwa nacheka sana hizi analysis zao!! Tuna safari ndefu sana!
  6. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Bwawa la nyerere limeishia wapi ?

    Kiukweli tumekua na kundi kubwa sana la wajuaji waliojawa na upumbavu mwingi.
  7. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Ayatollah mpya wa Iran Ameogopa Kifo Kutoka Kwa Israel

    Mzee mwenzangu tumezeeka sasa unaweza kasirika bila kutukana!!
  8. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kama walikuwa wanataka kunikondesha, watafute utaratibu mwingine

    Kwahiyo lile Tumbo Lissu anaonea sifa?
  9. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Mwandambo: Lissu anarusha mikono mahakamani kujipa matumaini. Wanaomshangilia wanamuacha, anarudi gerezani peke yake

    Japo huyo Mwandambo ni mpuuzi mwenzenu, lakini kaongea reality kidogo! Kwa sehemu kubwa waliomponza Lissu ni wapumbavu Pumbavu na washenzi kama wewe! Ungekua pamoja naye sahv ungekua Ukonga au kaburini ili kuthibitisha yaliyoko Moyoni mwako! Lakini ni mwanaharakati uliyejaa utoto mwingi na...
  10. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Je kurudi nyuma kwa sukuma gang(Team JPM) kutaathiri mwitikio ya Maandamano 7/7?

    Kiufupi ile nguvu ya 2025 ya waliokua nyuma ya harakati ilikua dhidi ya Samia binafsi si CCM!! Nguvu ile sasa inaelekezwa kwa mgombea wa. CCM 2030!!
  11. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

    Dada Crimea nakusalimu..... I really miss you!!!
Back
Top Bottom