Hivi kama wewe nimffuatiliaji mzuri wa vyombo vya habari na mambo ya taifa lako unaweza kusema Lowassa sio Fisadi, Au unaougonjwa wa kusahau au una maslai binafsi, tuambie ni kazi gani ambayo Lowasa amechapa? Kashfa ya richmond ni moja tu amehusika katika mambo mengi ya kulihujumu taifa hili
samsung galaxy tablet 10.
Used but in good condition
supports simcard
16gb internal memory
inakubali whatsapp,viber...........
Price~~550,000
contacts~0779142033
samsung digital camera es95
price---170,000/
megapixel 16.1
2 years warranty
contacts--0779142033
kwanini ununue sasa
1. Bei ndogo ukilinganisha na bei kwengine ni zaidi ya laki mbili
2.kila siku unayo ishi iwe shida au raha haiji kujirudia hivyo ni vizuri utunze kumbukumbu zako na wale...
hp printer 4 functions(print,copy,scan and fax) officejet 4500-----350,000/=
usb flash lg,sony,trascend 2gb------------------------------------------7000/=
4gb------------------------------------------8000/=...
Vijana tuwe wise mama porojo amebandika barua na anaomba uchunguzi ufanyike na uongozi wa chadema kwa manufaa ya watu wa arusha na kujenga uongozi bora ndani ya chama cha chadema.kwanini tunadakia kuanza kupinga haraka.kama mtu ameleta tuhuma basi zichunguzwe kiundani ili ukweli uwe wazi.Ni...
Mkuu umekuja na hoja nzuri kama tunataka kujenga chama imara pinzani ni lazima tukosowe pale inapohitajika inanishangaza sana kila anaekosoa eti gamba.Maana ni njia moja ya kukosoa kwa nguvu ndio itaonesha kwamba watu wako makini ata viongozi wetu watakuwa makini zaidi.PEOPLES GET THE LEADERS...
Unajua waislami mjirekebishe sana mi nimejaribu kufuatilia maisha ya waislamu waliosoma na kufanikiwa kimaisha ni watu wazuri sana nimekaa jirani na muislam kutoka iran alikuwa mtu mzuri na alikuwa anahimiza watoto wake kwenda shule sana sio madrasa sana,saizi ninaishi na waislam wa Iraq wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.