Every President,has his own style of governance:hats Trump, hatawali kama walivyotawala walimtangulia akina Obama na wenzake, hata hapa Tz, tumeona ,utawala was waliotangulia akina mzee ruksa, aliweka pembeni Azimio la Arusha,Mkapa akauza Mabenk ,Nyumba za serikali na Mashirika ya Umma, JK, UPO...