Radio Free Africa mpo serious kweli??

Huenda hapjat faida angalia hata matangazo wanayorusha yan hadi aibu kupeleka tangazo lako pale. Wanarusha matangazo kizaman mno yan hawaend na wakati. Wale mawingu fm ukipeleka tangazo lako pale yan had unafurah wanavyolirusha hewan
Ila mawingu nao wamezidi matangazo, khaaa!! Tunajua wingi wa matangazo ni kipimo cha success ila nao wanahitaji ubunifu jinsi ya kumanage hayo matangazo maana yamekuwa mengi kushinda actual content afu yanajirudia hadi kinyaa.
Watangazaji wakiwasha mic nao wanakuja na ufafanuzi wa matangazo hayo hayo.
Yani asilimia 95% ni matangazo, hata saivi ukitune in utakuta matangazo.
 
Ila mawingu nao wamezidi matangazo, khaaa!! Tunajua wingi wa matangazo ni kipimo cha success ila nao wanahitaji ubunifu jinsi ya kumanage hayo matangazo maana yamekuwa mengi kushinda actual content afu yanajirudia hadi kinyaa.
Watangazaji wakiwasha mic nao wanakuja na ufafanuzi wa matangazo hayo hayo.
Yani asilimia 95% ni matangazo, hata saivi ukitune in utakuta matangazo.
Kuna ukweli hapo mkuu. Ila station nyingi zinawaiga wao had presentation kwa sasa hawana mshindan kivile!
 
Sijui mna mkataba gani na shirika la Deutsche Welle kurusha matangazo yao ya mchana ila mnachefua sana pale kila siku inapotimia saa saba dk 15 mchana wakati uchambuzi wa habari umenoga automatically nyinyi mnakatisha ghafla na kucheza tangazo lenye sauti kubwa ya kushtusha linalohusu shule fulani.
Tumieni common sense, ni bora msubiri wakati wa kusoma salam ndo mcheze hilo tangazo maana kama hamjajua mtapelekea hiyo shule kuchukiwa kwa staili mnayoshtusha watu na kuwakatishia mtiririko wa habari.
Unasaini mkataba na mteja mwenye shule kuwa tutacheza tangazo lako saa saba dk 15 wakati huku mmeshasaini mkataba mwingine na Deutsche Welle, tabia hiyo ina jina lisilofaa kuliandika hapa!
Hilo tangazo lintukera wengi hata Mimi nakereka, Halafu Luna mtangazaji mmoja huwa anajisahau, akidhani RFA wanasikliza vijana wenzake tu, nakuanza kutumia maneno yasiyo na Staha, katika jamii, maneno kama "kwichi kwichi kwichi", wakati wasikilazaji wengine wanakuwa wamekaa na familia zao, Wazazi, mabinti, vijana wakwe,nakadhalika, je yeye akiwa na wazazi wake atathubutu kutamka maneno hayo,!!!!
 
Mkuu ubunifu nijambo la mhimu sanaaa. Aweke dam changa ataiteka lake zone kwa mwendo alionao hafiki mbal kwenye ushindan

Damu changa hazina uvumilivu kwenye sehemu mishahara inapochelewa. Hata star TV nayo imepoteza mvuto vibaya. Zamani ilikuwa na vipindi moto moto na watangazaji mahiri, ila sasa hv ni choka mbaya. Huenda ni hayo hayo ya mishahara.
 
Kumbe na ww limekukera yan RFA sku hiz inapoteza mvuto kabisa kwanza watangazaji sio wabunifu kabisa kwenye vipind vyao.
Atleast mm cku hiz namkubali sana yule jamaa wa mambomambo yeye anjiita Mr C
Wachache sanaa
 
Back
Top Bottom