Wakili mmoja nchini Marekani Joshua Neally alipelekwa hospitalini na gari lake la umeme Tesla linalojiendesha baada ya mishipa ya damu kuganda na kumsababishia uchungu mwingi kifuani.
Neally anayemiliki gari aina ya Tesla X alikuwa akielekea nyumbani kwake katika mji wa Springfield, Missouri...
Mbeya. Samaki wanaoingizwa nchini
wakitokea nchi jirani wanadaiwa
kusababisha madhara ya kiafya
ikiwamo wanaume kuota matiti na
wanawake kuota ndevu.
Samaki hao huingizwa nchini kupitia
mipaka ya Kasumulu-Kyela na
Malawi na ule wa Tunduma na
Zambia.
Kutokana na uwapo wa taarifa za
samaki hao...
Habari wanajanvi!!!!!!!!
Kumekuwa kuna tatizo la kukatika katika kwa umeme kwa zaidi ya wiki mbili sasa bila taarifa yoyote kutoka kwenye mamlaka husika yaani Tanesco! Kulikoni jamani? Na kama kuna mgao kwann msitoe taarifa ili tujue kuliko kutukatia umeme bila habari, na kitengo chenu cha...
Hahaha hahaha! Naanza kwa kucheka kwa sababu wengi wanao mpnga Magufuli, ni wavivu wa kufanya Kazi na kufkiri, ni ile mijitu ikiingia ofcn. N mijitu ya kupga soga badala ya kufanya Kazi sasa kaen kujua chuki zenu, fitina, roho zenu mbaya. Zimegonga mwamba! Na habar ziwafkie yy ndio rais wa nchi...
iPhone mpya znakubal bla shida ila issue inakuja kwenye ipad na hasa ukiupdate ios na ikawa 8 ndio shida inapo kuja ila naamin njia ipo ya kupata what's app kwenye ipad tusubiri muda c mrefu mambo yatakuwa poa.
Watanzania sisi ni wanafki na wazandiki! Alcho kifanya Zitto sio kibaya na wabaya n wale wasio taka mabadiliko ndan ya chama chao wanamsukia zengwe Zitto ili waonekane wema mbele ya Jamii, kiukweli huo uzushi wa kujifanya wema na wazalendo wa nchi wachache wenye akili tumewagundua. Fanyeni...
Mark X inauzwa bei poa ni mpya kabisa na imelipiwa kodi(kila kitu), engine ni 2.5, ni toleo la 2007/2008, imetembea km:550000 na bei yake ni 24m pia ni salama kabisa kwa mawasiliano zaidi wasiliana nami kwa namba: 0714375365 au Email: mpambano40@gmail.com
Gari aina ya haice Nissan Caravan inauzwa, ni Automatic na inatumia Petrol pia imetembea miezi saba(7) tu! na imetembea km140000 haina tatizo lolote
kwa mawasiliano wasiliana nami kwa simu no: 0714375365 au Email: mpambano40@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.