Tatizo aliwadanganya kwamba eti barabara hazijengwi kwa sababu yeye yuko CDM, sasa akihamia Sisiem ndio barabara zitajengwa. Sasa naona hakuna kilichofanyika
Ngoja nichangie kidogo kuhusu Hili, Yesu alivyofundisha kuomba katika (Mathayo 6:9 - 10)... 9. Inayosema Baba yetu uliye Mbinguni, jina lako litukuzwe. 10. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama Mbinguni.
Hiyo ni sala ambayo Yesu mwenyewe alifundisha Jinsi ya Kusali.
Yaani Baba yetu...
Kama ulikuwa huwezi kuwasha friji kabla hata sasa hutaweza, yaani wameweka tuu neno kupunguza, ila umeme umepunguzwa asilimia 1.1 yaani ni kama shilingi moja kwa Unit. Labda uniambie kuhusu service charge, ila sio umeme (Google kuhusu wakiwa wanaongeza bei kama wamewahi kuongeza kwa asilimia...
Hivi kama alikuwa anatoa fungu la kumi kama ambavyo wakristo huwa tunatoa ni kosa? Mbona hata mimi huwa natoa bahasha kwa Watumishi wa Mungu....!!!, mambo mengine sio mazuri kwa mustakabali wa nchi yetu kwa kweli
Lowasa naoma ana wa- outsmart CCM, wakati wanatukana yeye ana make headlines kama hizi. CCM msichukulie kawaida hii ni strategy na ni nzuri for publicity, endeleeni kutoa kejeli na matusi tuu (CCM mnaonekana kama mmechanganyikiwa kwa kweli)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.