Recent content by lusaca

  1. lusaca

    JamiiForums Tanzania Haya Madoa yanasababishwa na nini?

    Haya madoa yametokea tu kwenye vidole gumba yanaashiria nini? Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  2. lusaca

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Siku hizi mhindi ni noma Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  3. lusaca

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamepandisha bei ya umeme?

    Hii njii
  4. lusaca

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ukikamailisha natamani nzipate Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  5. lusaca

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume acheni tabia za kutupiga makofi kwenye makalio wakati wa kufanya mapenzi

    Ukuje huku ulilete basi...
  6. lusaca

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

    Tumia huu muda wa likizo kurekebisha hiyo hali, maana unakoelekea ni kuvunja ndoa yako. Achana na huyo mchepuko maana hata ukivunja hiyo ndoa ya mmeo akupendaye huyo kijana hatalea hao wanao. Lakini pia jitahidi kuwa unamuomba mmeoa aje ulipo walau kila miez 2 au wewe uhakikishe kuwa unaenda kwa...
  7. lusaca

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

    Nyie watu a mother of four kids unawaza haya mdogo wako mwanao watafanya nini!?
  8. lusaca

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mnao tumia english kutongoza

    Fact,,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. lusaca

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mwita Waitara amwaga machozi mbele ya Wanahabari

    Huyu na wenzake wasubilie box la kura tu 2025,tena kanda maalumu hana chake huko watamtoa hadi vinyweleo
  10. lusaca

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Jiji Dodoma Joseph Mafuru amekataa kuzungumzia Ubomoaji akidai Leo ni Sikukuu Serikali haiko Kazini!

    Ni kweli aamekataa hata mimi japo sihusiki na hiyo issue lakini nimejisikia vibaya,watu wamebomolewa mijengo yao wanalalamika jamaa linasema subilia siku ya kazi mama kazi anayo aisee...
  11. lusaca

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

    Hapana hii siyo mkuu
  12. lusaca

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

    Huku sasa waenda mbali, unaweza kulala chini,kulala na joka kubwa ndani kutoa kafara nduguzo, kuku adonoe punje za mahindi kadhaa,miguu kuwa na kidonga ngudu au kuwafanya uwapendao machizi na mengne mengi unaweza kuwa kama wao japo siyo wote walifanya hayo wengine pesa zao za halali migodi ya...
  13. lusaca

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hongera zako mkuu
  14. lusaca

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hongera zako
Back
Top Bottom