Recent content by lupio

  1. L

    MADA: Fahamu zaidi kuhusu mbinu za kilimo cha tikitimaji, faida na changamoto zake

    Habarini wana Jamvi, Ukweli usikate tamaa kwenye kila Jambo, baada ya kusoma makala nyingi juu ya kilimo cha tikiti nilijaribu mwezi wa 9 mwaka 2018 shamba lilikuwa juu ya mlima, matikiti yaliota vzuri hadi kufikia kutoa maua mvua zikakata na yakakauka lakini nikatafuta shamba bondeni nikalima...
  2. L

    Napenda kufahamu juu ya hawa mbuzi

    Kama utawahitaji Hao Mbuzi wapo chuo cha kilimo sua na Tengeru, au tembelea morogoro kuna wafugaji wengi, Nilikuwa nao tulianza kuwafuga tangu mwaka 1998, Tuliwatoa Sua waliletwa kwa majaribio kutoka Norway na Tuliuza sana kwenye miradi ya Worldvision vijijini bei huwa ni kuanzia 100,000 hadi...
  3. L

    Kwanini Watanzania wamekuwa wagumu kutumia tofali za Hydrafom?

    Inawezekana tutakapohakiki udongo uliopo hilo eneo
  4. L

    Kwanini Watanzania wamekuwa wagumu kutumia tofali za Hydrafom?

    Hizi Interlocking ni imara kama unatumia kiwango sahihi cha cement (Luvi interlocking block) tunatengeneza tupo korogwe, tanga, hizi tofari zina vipimo vifuatavyo 290x140x115mm. BEI TSH 550/MOJA
  5. L

    Email ya ku-apply kazi AMREF kukataa nini tatizo?

    Jaribu kuweka vyeti na cv kwa pdf nadhani utafanikiwa
  6. L

    Tazama video za youtube bila kuwasha data ( working 100%)

    Badili kichwa cha habari kiwe jinsi ya kubana matumizi ya mb ukiangalia youtube video kwa kuwasha data na kuzima
  7. L

    Msaada: Documents zangu kwenye Flash hazifunguki

    hilo tatizo lako ni virus hao pitia hizo njia hapo pia kunasoftware inaitwa "recuva" itakusaidia pia
  8. L

    Msaada: Documents zangu kwenye Flash hazifunguki

    pitia hiyo link inamaelezo na picha LUNGA BLOG NETWORKS: ICT EXPERT ukishindwa download software inaitwa total recall data recovery software au file scavanger itarudsha hizo data zako
  9. L

    Msaada: Documents zangu kwenye Flash hazifunguki

    au download software inaitwa recovermyfile
  10. L

    Msaada: Documents zangu kwenye Flash hazifunguki

    Kama ni shortcut tumia njia hii Remove the shortcut virus with a command prompt. , click “Start” and search for “cmd.” Right-click on the “cmd” or “Command Prompt Window” result and select “Run as Administrator.” In the command prompt window: Angalia hiyo frash inasoma heruf gani type hiyo...
  11. L

    Ipo siku Google, Facebook, twt, Instagram zitakuwa zikifundishwa darasani kama masomo Mengine (maths, geo, etc)

    Yanafundishwa mbona wanaosoma bachelor of Information management mfano pale tudarco kuna course inaitwa Information user needs, Information literacy, Information sources hili ndio unakutana na hayo uliyosema sanasana na ukifika mwaka wa mwisho kuna course ya Ethics in Information management hizo...
  12. L

    Msaada mtu ame Hack account ya Insta

    Kama unakumbuka email ID yako unaweza irudisha mwenyewe lakini kama huikimbuki lazima ujiandae msaada hapo pesa
  13. L

    Msaada ku-unlock partens ktk Simu

    select the wipe data/factory reset option
  14. L

    Msaada ku-unlock partens ktk Simu

    pitia hii link but cybercrime act kwa kitendo hicho akilalamika muhusika jua utabadilisha jengo shaur yako
  15. L

    Msaada ku-unlock partens ktk Simu

    duuh ni rahisi kutoa hiyo partens tatizo cyber crime acts, sio yako ni ya mdada
Back
Top Bottom