Recent content by Lupamba's grandson

  1. Lupamba's grandson

    Kuijumuisha Al Hilal ya Sudan kwenye ratiba ya ligi ya NBC ni jambo la kupongeza

    Inaweza kutokea, lakini kawaida ni kwa sababu za kipekee. Kwa mfano, kama nchi inakabiliwa na vita au mazingira hatari ambayo yanazuia uendeshaji wa ligi ya ndani, basi klabu inaweza kuamua kutafuta fursa ya kucheza ligi katika nchi nyingine. Hata hivyo, hii inahitaji idhini na ushirikiano wa...
  2. Lupamba's grandson

    Kuijumuisha Al Hilal ya Sudan kwenye ratiba ya ligi ya NBC ni jambo la kupongeza

    nilikuwa napitia pitia vichwa vya habri ,Nikakutana na hii Sijui wenzangu wenye michezo yenu mnaionaje hii.Je itakwenda kutia chachu na kuinua soka letu Tanzania ? Je ndio kusema ligi yetu imekuwa kubwa mpka kufika huku ? Sababu walikuwa na uwezo kwenda moroco,south,congo lakini why Tanzania...
  3. Lupamba's grandson

    Nahitaji kadi maalum VVIP ya kataa ndoa, nimechoka

    Mkuu naomba kuwa shahidi upande wako
  4. Lupamba's grandson

    Andika neno lolote chungu, zito, lenye maumivu ambalo hautakujaa kusahau mtu alikutamkia

    Habarini wapendwa. Leo nimekaa nikawa nimepitia. Insta nikaona x kapost picha yake nikakumbuka neno mmoja mabalo nalikumbukka mpka leo liliniuma sana. Alinisumbua sana ikafika mahali nilipewa mapumziko hospital, sasa kwenye kumpigia kumwambia nimelazwa ,bwana ee alinitext ". Utajua mwenyewe...
  5. Lupamba's grandson

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    @INSIDER MAN iyo mambo ya parking terminal 3 kupigwa chain mimi yalinikuta mwenzio yani kwenye parking tairi laa mbele sikulinyoosha likakaanyaga mstari wa njano maan nilikuwa naharaka nilikuwa namuwhisha mama ako mdogo ,sasa niliporudi nikakuta Chain mzee niliangaika naa wale askari nikawaambia...
Back
Top Bottom