Recent content by lupala

  1. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    V i Vigezo huna kaa kimya.waachie wenye vgezo.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Mimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa. Ukiona haikuhusu potezea sio kuandika matusi.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

    acheni fitina.super women anajitahidi kufichua maovu na unyanyasaji unaofanywa na baadhi ya watu katika jamii.amesaidia watu kibao kuacha tabia za unyanyasaji ktk jamii.big up super women
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mungu Mlinde Dr. Slaa Aiokoe Tanzania

    kajifunze kiswahili kwanza.nyie ndo watanzania feki
  5. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume aliye 'serious'

    kama kupata kazi ni ishu.si bora nitafute mume?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume aliye 'serious'

    Mimi ni msichana wa miaka 26, elimu yangu ni shahada moja, sifanyi kazi ni mwembamba,maji ya kunde,mkristo. Natafuta mme msomi at least degree,mwenye hofu ya Mungu,mwenye kazi ya maana,mkristo, mwenye mapenzi ya dhati,umri kuanzia miaka 29-35. Kama uko interested ni Pm
  7. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta serious wife.

    nipo apa.natuma na cv kabisa.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Unahitaji mume!!!

    kama ana kazi na hana degree je?au ana degree na hana kazi?
Back
Top Bottom