Recent content by Lupa23

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wapi nikachangamkie fursa ya mazao kipind hiki cha uhaba wa chakula nchini.

    Nenda songea mahindi ya kumwaga nenda kagera maharage kibao
  2. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

    Pole sana mpendwa.R.I.P Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
  3. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Mungu akutimizie haja ya moyo wako
  4. L

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Labda awamu hii atakuwepoaana ndio awamu ya wale wenye majina mawilimawili kama huyo bashite
  5. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA: MwanaJF Slim5 amefiwa na baba yake mzazi

    Pole sana kwake.Mungu akutie nguvu ktk kipondi hiki kigumu.R.I.P baba
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hivi NSSF na PPF na PSPF itaweza kuwalipa hawa jamaa waliofutwa kazi?

    Mkuu ulimsikiliza vema mheshimiwa kweli au ilimladi na wewe uppst kitu tu....! Jipange wewee
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kupokea Taarifa ya Uhakiki wa vyeti feki vya Watumishi wa Umma

    Tupo pamoja ktk kulijenga Taifa nimekusoma vyema
  8. L

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Haya tusubili ajira sasa feki imefika mwisho hakuna kikwazo
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kupokea Taarifa ya Uhakiki wa vyeti feki vya Watumishi wa Umma

    Nijuavyo mbunge ni mtu yeyote alieteuliwa na kuaminiwa na wananchi ili awe mwaiilishi wao bungeni na si vyeti
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kupokea Taarifa ya Uhakiki wa vyeti feki vya Watumishi wa Umma

    Huyo Ndalichako kawahi hivyo walimu watapona kweliiii
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kupokea Taarifa ya Uhakiki wa vyeti feki vya Watumishi wa Umma

    [emoji1] [emoji1] hicho ndicho haswa kilicho ndan ya uwezo wake
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kupokea Taarifa ya Uhakiki wa vyeti feki vya Watumishi wa Umma

    Afadhali liishe watumishi wapate haki zao maana limekuwa kikwazo kwa stahiki zao
Back
Top Bottom