Rorya ni jimbo linalopatikana ndani ya mkoa wa Mara, na wakazi wa hapa ni wajaluo kwa 95% huku wasimbiti na baadhi ya vikabila vidogo vidogo ni 5 tu ya wilaya nzima
Lameck okambo airo(LAKAIRO) ndiye alikuwa mbunge kwenye awamu mbili lakini kwa mwaka huu aliamua kujiondoa kutokana na upepo wa...
Habari wana jamvi,
Miaka ya 2015-2016 shirika la nyumba la taifa(NHC) lilikuja na plan ya kulifanya jiji la Arusha kuwa miongoni mwa majiji yenye mvuto Afrika.
Wakaja na kitu kinaitwa safari city Arusha au Satellite City, ambapo wangejenga hotels, shopping malls, kumbi za mikutano, makazi bora...
Kaka hapa ni wapi sasa??? Jitahidi kuwa mzalendo mimi ni chadema tena damu kabisa lakini ukifika wakati wa utaifa tusimame kama taifa sio ccm au chadema
Sijawahi kupata magonjwa ya zinaa,UTI au kichocho ila wakati unaanza nilikuwa naenda aja ndogo mara kwa mara lakini kwa sasa imepungua sana naweza nikakojoa mara moja au mara mbili kwa siku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.