Luoman
Member
- Jul 2, 2020
- 20
- 44
Rorya ni jimbo linalopatikana ndani ya mkoa wa Mara, na wakazi wa hapa ni wajaluo kwa 95% huku wasimbiti na baadhi ya vikabila vidogo vidogo ni 5 tu ya wilaya nzima
Lameck okambo airo(LAKAIRO) ndiye alikuwa mbunge kwenye awamu mbili lakini kwa mwaka huu aliamua kujiondoa kutokana na upepo wa mabadiliko unaovuma kwa sasa,hasa baada ya Ezekiah Dibogo wenje kutangaza nia ya kugombea jimbo la Rorya. Watu wengi walivutiwa sana na ujio wake ata wana ccm walimuona kama mtu anaefaa.
Kwenye kura za maoni za Jana CCM wakamteua kijana kutoka kabila la wasimbiti makusudi kabisa ili kumpatia kura ndugu wenje ambae ni mjaluo mwenzao kuitawala Rorya
Toka jimbo hili kuanzishwa hakuna mtu wa kabila tofauti ashawahi kuwa mbunge lakini Jana CCM wamefanya maamuzi ya juu kabisa tena bila kujua kabisa wanaua chama kwa kuegemeza nguvu zao ili ndugu wenje ashinde jambo litakaloleta mpasuko mkubwa kwa CCM-Rorya
Kwa hali ilivyo sasa sioni nafasi ya CCM tena wilayani Rorya, sababu wananchi wengi wanavutiwa na wenje
Note: Ezekiah Wenje, alikuwa ni mbunge wa Nyamagana 2010-2015