Recent content by Luoboy

  1. L

    UGALI unaitwaje kwa Kingereza/Kimombo?

    Hard porridge
  2. L

    Waziri mkuu tunaomba uitazame pia mifuko ya hifadhi ya jamii ya PPF na GEPF

    Vp jamani tuliofanya oral ya ppf adult institute pale walishaajiri au maana tulikuwa wengi utadhani maandamano
  3. L

    Loan Board wanaanza kutukata lini?

    Loan board hawapo makini kwenye suala LA kufuatilia watu wanaofanya kazi kwenye taasisi zote maana k una watu wengi sana walianza kazi longtime wanashangaa kwanini hawajaanza kukatwa inatakiwa wafuatilie na kutoa adhabu kwawaajiri kama mifuko ya kijamii inavyofanya
  4. L

    Nimemuagiza gari kaingia mitini, zawadi Tshs milioni 2 kwa atayefanikisha kupatikana

    Pole sana mkuu, kutapeliwa ni nomaa, me nishawaikutapeliwa na jamaa yangu Wa karibu wanajiamini sana yaani mtandao wao ni hatari wana roho ngumu ila wamenifundisha so hata wewe iwe ni mapito tu kwako maana hata ukimpata huwezimfanya kitu
  5. L

    Taratibu za usafiri wa anga, yajue yampasayo abiria

    Ni kweli ila taratibu hizo hazifuatwi saana mimi kuna siku nilichelewa airport yaani nafika nasikia tangazo wananiita jina nilikuwa naenda Nairobi na Kenya airway na injini ilishawashwa na milango ilishafungwa but thanks God waksnifungulia cjui ilikuwa ni Bahati yangu but ni muhimu kuwahi Kama...
  6. L

    Usichokijua kuhusu kukanyaga mdudu na kupotea njia

    Umenikumbusha mbali Sana, ilishawahi kunitokea siku moja nimetoka Dar kwenda mlandizi nikafika SAA moja jioni nilikuwa na shemeji yangu yeye alikuwa anaishi hapo hapo mlandizi ila waligombana na mume wake so alipokuja Dar kusuluhishwa ndio nikaambiwa nimsindikize na Mimi mlandizi nishawahi...
  7. L

    Ongeza damu: Tengeneza na kunywa juisi hii

    Thanks kamanda maana napenda Sana vitu asilia
  8. L

    Ongeza damu: Tengeneza na kunywa juisi hii

    Maji unamix kiasi gani?
  9. L

    Msaada DStv: Kifurushi cha elfu 78 naona EPL?

    Cable ndio rahaa unalipa 20000 per month na kujiunga laki mbili na nusu huku arusha then unacheki game zote muhimu za ulaya hasa ligue one, EPL, laliga, serie A,
Back
Top Bottom