Kiukweli mi naona kwenye swala la maendeleo ya barabara katika nchi hii serikali imeshindwa kabisa. Barabara nyingi nchini na muhimu kwa ustawi wa uchumi wa nchi ni mbovu kupita maelezo na cha ajabu unakuta ndio barabara ambazo hata viongozi hutumia kwenda kwenye shughuli zao.
Nitolee mfano wa...
Waungwana nafikiri tumefichwa au mi sijui kuhusu mwenge au huu moto unauzungushwa karibu nchi nzima. Kwani unamaana gani kwa ustawi wa nchi maana inafika hatua watu wanakosa utu kwa binadamu wenzao.
Nimeona clip moja inayosambaa wale askari walivyomfanyia mwananchi kile kitendo kisa tu mwenge...
Nipo kwenye group fulani hivi la WhatsApp likatumwa tangazo la ajira kutoka Pepsi (nimeambatanisha hapo) lilikua linahitaji vijana wa kuwaajiri na mimi nikajaribu kuomba hapo baada ya siku kadhaa wakanijibu hivyo(nimeambatanisha pia).
Watu mliopata bahati ya kuajiliwa kwenye makampuni makubwa...
Hawa trafik wa wa morogoro na pwani wanasumbua sana unakuta anaamua tu kukupotezea muda bila sababu.
Kuna siku nilisimamishwa na trafiki nikasimama cha kishangaza badala ya kuniambia sababu ya kunisimamisha akawa yuko bize anaongea na simu. Nilichokifanya nikaamua kuondoka tu akanipiga faini...
Wazee
Wazee mlikua mnadanganywa sana yaan mnaambiwa a bullet can turn into water na mnakubali🤔🤔🤔 kijengetile aliwaokota sana at least vijana wa sahiv tunaweza hata ku protest kuhusu siasa mtushukuru sisi vijana ndo tumewatia moyo wa kuongea wazee wa zaman walikua ni hovyo sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.