Recent content by lunguzamnazi

  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Mwanamke wangu ananiambia mtoto si wangu

    Mwanamke anasemaga ukweli akiwa na hasira au amelewa zingatia hilo ili ukae mbali na stress. Zingatia Jogoo hatunzi kifaranga
  2. L

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli gesi ya kupikia nchini Cuba inauzwa TZS 2,000? – Uchambuzi wa kitaalamu

    Pia wapunguze bei ya unit ya umeme
  3. L

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli gesi ya kupikia nchini Cuba inauzwa TZS 2,000? – Uchambuzi wa kitaalamu

    Mimi swali langu ni kwanini hapa tulio na vyanzo vya ndani gesi isiuzwe japo 10k hadi 15k
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kocha Florent Ibenge anavyoisuka Azam sitoshangaa msimu ujao akibeba kömbe la NBC hata Shirikisho, Mark My Words

    Azam atachukua pale tu GSM atakapoacha kudhamini vilabu kadhaa kwenye ligi
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mtaje Mnyama au Mdudu unayemuogopa

    Watunzie maini, figo, bandama na utamu wakaufaidi.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Chalamila mjanja sana. Kwa ahadi zile Alijua tu Stars haivuki

    Kocha morroco timu inacheza na morroco halafu ushinde thubutu.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wachezaji ambao ukiwataja lazma utamke majina yao mawili

    Ina motto Kumma motto
  8. L

    JamiiForums Tanzania Utambulisho wa Rushine De Reuck wanasimba wavutiwa na jezi

    Kaputura tu imeharibu
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

    Enyi wanawake mkishapata watoto na waume zenu msijisahau kuwa waume zenu ndio watoto wenu wa kwanza. Maana wao ndio wakwanza kuwanyonyesha kipindi mnapata watoto
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

    Wanaume 5 mstari wa 7 unasema Mwanamke ni mzuri na mtamu kwa mwanaume anayemfukuzia huyo mwanamke kabla hajamvua nguo na kumla. Akishamla hana utamu tena na uzuri bali kinachobaki ni je mwanamke huyo anaweza kumpa amani na faraja mwanaume? Kama hawezi basi ataonekana kituko tu.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta ilikuwaje ukashindwa kumhamishia baba yako ‘ushuani’ ukakubali afie Mbagala?

    Ni nyumbani kwa baba yake. Baba ni vema akakaa kwake
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta ilikuwaje ukashindwa kumhamishia baba yako ‘ushuani’ ukakubali afie Mbagala?

    Wewe ndio wale vijana msioelewa. Kumbuka baba ana mji wake na mkewe then amhamishe kwenye mji wake. Kumbuka nyumbani kwa baba na mama.
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu mchepuko wa aina hii umenishtua kidogo

    Hufai kuwa rafiki
Back
Top Bottom