Recent content by Lumwagoz

  1. L

    JamiiForums Tanzania Hili la Joshua Nassari ni moja mapito magumu watanzania wanayopitia kwa kuchagua upinzani

    Nasari malipo yake atayapata hapahapa dunian. Ni suala la muda tu
  2. L

    JamiiForums Tanzania Raphael Chegeni(CCM): Tusidanganyane, makusanyo ya TRA yanashuka kwa sababu biashara zinafungwa kila siku

    Tatizo lingine Ni watumishi tra! Wangewapunguzia maslahi kidogo! Maana yanawapa kiburi hata ukijieleza hakusikilizi kisa yy mshahara wake mkubwa.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ampa shule Ado Shaibu

    Ukwel Mwigulu ndan ya moyo wako unaujua. Kua ccm bila msaada wa polsi na nec Ni ngumu kushinda.
  4. L

    JamiiForums Tanzania MO,MANJI,BAKHRESA MSIBA HAMJAUSIKIA

    Unatetea upumbavu tu... Rais na mawziri ndo hawana kazi za kufanya. Huwajui ww hao wanaojiita waarabu au wahindi hata huku mitaan tunakoishii nao hawhudhuriaga kwenye misiba yetu.-
  5. L

    JamiiForums Tanzania MTWARA: Polisi na Askari Magereza wapigana makonde hadharani, mabomu na risasi zarindima stendi ya mabasi

    Hiyo Trafik Ni pumbafu anamkamataje poti mwenzake ndo alivyofundishwa hivyo?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Kanisa Katoliki kusimama na kukemea,Askofu Shoo ameonesha njia.Waumini wana manung'uniko

    Mapadri wangu sasa ivi wamekua sawa na tbc tuu
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri : Mdude achunguzwe kama kalishwa sumu

    Kaka ninyepesi kuandika Kama ww. Ungekua field ndo ungejua kua upinzani umepigwa pin ya hatar tz.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mdude Nyagali apatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa siku 4

    Picha mkuu Ni udhibitisho.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Nimeshatoa taarifa TCRA, nimewataka wamkamate aliyenichafua kama wanavyowakamata wengine, La, Jumapili patachimbika sababu namjua

    Angekaa kimya mngesema...ohh ni kwel mbona hakanushi..kajitokeza mnasema. Ukikaa kimya usubiri jeshi la Polisi likukanushie umekwisha.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mali hizi Makonda anazitoa wapi? Anatembelea magari ya kifahari kuliko mshahara wake kwanini wakuu wa mikoa wengine hawana?

    Mi bashite nikiona hayo magar yake kwa kwel anaumiza Sana moyo wangu.Hasa ukizingatia hali za uchumi kwa wa tz sasa zilivyo.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tukipata tume huru ya uchaguzi Yatosha

    Pole. Kama hujui kitu Kula ukalale
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tukipata tume huru ya uchaguzi Yatosha

    Ni kwel lkn kungekua na tume guru ingekua zaid ya Mara 2 ya hao unaosema wengi. Huenda hata pale juu kabisa asingekuwepo tulie nae Kama time guru ingekuwepo.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Yanayotokea ni hofu ya watawala kushindwa kwenye uchaguzi mkuu ujao.

    Itakua na hofu vp wakat nec Ni Mali Yao.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nasimama na CHADEMA kwenye kufuatilia ziara za Rais Magufuli kupitia TBC bila kuchoka

    Hivi huna chochote cha maana cha kuandika kwa maendeleo ya nchi Zaidi ya chadema na mbowe? Badilika
Back
Top Bottom