KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,589
- 4,600
Unaacha kuwatumikia wananchi kisa maslahi yako binafsi? Joshua Nasari umewasikitisha sana wananchi wa Arumeru, umewafadhaisha na kuwasononesha. Watu wamekosa maneno ya kuelezea hisia za mioyo yao.
Muda ufaao ni ule wa kufanya maamuzi, hakika Joshua Nasari umewapa watu muda muafaka watanzania wa kuufikiria na kuamua juu ya upinzani, kwa hili nakupa kongole. Watanzania wanapata muda wa kuufiria upinzani kama sehemu ya watu kujitengenezea mazingira ya kujitumikia wao binafsi na si kuwatumia watu.
Mimi si mpinzani lakini kwa suala la Joshua Nasari nimevaa viatu vya waliompigia kura, hakika nimeona havinitoshi. Havinitoshi kwa sababu ni vikubwa sana, vinanipwaya. Watanzania walimvisha viatu vikubwa sana kijana Nassari, sasa vimempwaya.
Si kwa Nassari tu ambaye viatu alivyovaa vimempwaya, naweza kusema ni upinzani wote. Watanzania jitahidini kuvaa viatu vya saizi yetu, ni CCM tu ndio kiatu sahihi cha saizi yenu na hakipwai wala kubana. Ni kiatu kinachoongezeka ukubwa kwa kadiri ya mtu anavyokua.
Hili la Joshua Nassari naweza kusema ni moja ya mapito magumu watanzania wanayopitia kwa kuchagua upinzani ambao unakumbatia maslahi binafsi. Kijana Nassari huyo anakwea pipa kutimiza maslahi yake binafsi na kuacha maslahi ya Umma rehani.
Hili la Joshua Nassari limenipa funzo kubwa, napenda watanzania wajifunze pia kulinda maslahi yao kwa kukipigia kura chamachenye maslahi yao kwanza. Ni CCM tu chama chenye kujali maslahi ya umma wetu watanzania.