Recent content by lulu za uru

  1. L

    JamiiForums Tanzania The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!

    Sasa hii sijui ni karma au lkn ina mafunzo kuna ukoo mmoja huko uchagani mwanaume akichumbia binti yako asimuoe hiyo ndo imeisha binti hatokaa aolewe maisha yake yote atazalishwa tu na watu lkn hatoolewa tena koo hiyo hiyo ukipigana naye akatoka damu sehemu yoyote ya Mwili wake umejikatia...
  2. L

    JamiiForums Tanzania We mwl. Kuluthum Lema wa S/M Kimandafu uko juu ya waziri wa Elimu? Kwanini uwachape wanafunzi waliofika shuleni kabla ya saa moja asubuhi?

    Huna pesa bado una kelele tena shukuru sana Waalimu wafatiliaji hao. Shule anayosoma mtt wa Waziri siyo sawa na ya mtt wako sasa usiwatipu Walimu wamfatilie mtt endelea kurusha pumb kubishana ususiwe mtt....sie Tumesoma kayumba kuwahi kulitusaidia mengi achana na mwlm kabis
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kidini unaruhusiwa kumuoa mtoto wa nje ya ndoa - Sheikh Kulunge

    Wanawake wakiwa wapi mpaka ujirudie viuno baako laana hiyo
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kisa: Nilivyowahi maishani

    Huo ndio uanaume hakukimbia jukumu halafu sio kujipanga yy sii shoga ni rijali
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hivi na nyie wake zenu wanawapa unyumba kwa kunung'unika kama huyu wangu?

    Anawaza rejesho na bado unataka awe wet...toa hela mkuu
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo bro umekaa ukatafakari kabisa na kuona uko sahihi kumuoa huyo mwanamke mwenye Tattoo kiunoni na sehemu nyeti?

    Ushamba wa kutokuchora tatoo ni ushamba mzuri ushamba Smart📍
  7. L

    JamiiForums Tanzania HOJA Changamoto ya Visa ya China Tanzania: Tatizo ni Madalali, Sio Ubalozi

    Pale waweke jeshi la ulinzi tu.hao madalali tuone watatokea wapi ...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Joel Peter kawauliza waislamu na wakristu swali gumu

    Amekupa uhuru uishi utakavyo....hatashindana na ww kamwe taste ya maisha ndo ho mitihani.tupambane kuishinda .
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hivi wachaga kwa nini mkifiwa Dar hamweki matarumbeta

    Wewe inakuhusu nin au itakusaidia nn? Kiherehere tu
  10. L

    JamiiForums Tanzania Njooni tujichange twende Tanga tukajenge kiwanda cha kemikali za Mafuta (Petrochemical Plant) Malighafi tutachukua kwenye kiwanda cha kusafisha mafuta

    Wenzetu huko mbele huyu angepewa na ulinzi kabisa akifanikiwa akaanza anapewa magharama na mavipengele kibao akishinda mtihani akaanza kuzalisha kuna matajiri sasa watapataka kwl safari yetu ni ndefu.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Njooni tujichange twende Tanga tukajenge kiwanda cha kemikali za Mafuta (Petrochemical Plant) Malighafi tutachukua kwenye kiwanda cha kusafisha mafuta

    Wenzetu huko mbele huyu angepewa na ulinzi kabisa akifanikiwa akaanza anapewa magharama na mavipengele kibao akishinda mtihani akaanza kuzalisha kuna matajiri sasa watapataka kwl safari yetu ni ndeg
  12. L

    JamiiForums Tanzania Njooni tujichange twende Tanga tukajenge kiwanda cha kemikali za Mafuta (Petrochemical Plant) Malighafi tutachukua kwenye kiwanda cha kusafisha mafuta

    Wenzetu huko mbele huyu angepewa na ulinzi kabisa akifanikiwa akaanza anapewa magharama na mavipengele kibao akishinda mtihani akaanza kuzalisha kuna matajiri sasa watapataka kwl safari yetu ni ndefu
  13. L

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Walid Omar Kawambwa atenguliwa kwa kukiuka 'misingi' ya Uongozi

    Siku ya kwanza kumuona tu nikahisi tu huyu anawapandisha sana kitandani sura inaonyesha...ila kina Daudi na kina Suleiman nao walikuwa wanawakatikia haswa enzi hizo msimshadadie sana haijaanza leo.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Character Never Lies! Utamtambuaje Mtu Mwema au Mbaya?

    Binadamu wanatubadilisha tabia mimi unipokeavyo ndivo nitaishi na wewe sina roho mbaya ila ukiniletea nakumute...taratibu bila ugomvi.utanisikia kwny bomba.
Back
Top Bottom