Recent content by Lulu michael

  1. Lulu michael

    JamiiForums Tanzania Ni miaka 15 sasa tangia nianze kunuka sehemu za huku chini

    kilichokuchekesha ni nini sasa ??
  2. Lulu michael

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ndio uzuri wa wanawake wengi wasio na mvuto

    kwan huwez kucomment bila kum'quote' had inachosha!!!!
  3. Lulu michael

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kusingiziwa kitu?

    .
  4. Lulu michael

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kusingiziwa kitu?

    mimi kuna mtu alinisingizia mambo mengi tu hiyo ni baada ya kumfuma kwenye tank langu anaiba maji na hapo tulikuwa tumenuniana nikaamua kumshtak kwa mwenye nyumba wacha anishuhudie uongo ambao hata sikuwah kuuona dunia hii kubwa zaid akanisingizia natembea na mumewe jaman wakat huyo kaka hata...
  5. Lulu michael

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba wa hali kama yangu

    i wish ningekuwa na muda ningeutumia kupitia uzi huu huu kutoa elimu, ukimwi upo kwa sis tunaoudhuriaga clinic kila mwez tuna ona jins watu wanavyokuja wengine wakiwa katika hali mbaya, yan watu ni wengi ni wengi ni wengi chunga sana my dear usipate, kwa jins tulivyo weng wenye HIV sidhani kama...
  6. Lulu michael

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba wa hali kama yangu

  7. Lulu michael

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harusi ya mdogo wangu ilivyochukua wazazi na ndugu zangu wote

    pole mumy, so sad
  8. Lulu michael

    JamiiForums Tanzania Hongereni TBC kwa kuboresha muonekano

    Kwangu haitoi sauti ila Chanel zingine zote saut ipo Mh sijahangaika nayo mimi.
  9. Lulu michael

    JamiiForums Tanzania Sina imani na NECTA kwa upande wa Private Candidate!

    Si kweli mkuu necta A wanatoa vizuri tu mbona mimi kuna somo nimesimanisha banda na umri wangu umeenda tu mana nilimaliza form four 2009 nikapata credit moja tu . Mwaka jana nikarisit nikapata A B B D D
  10. Lulu michael

    JamiiForums Tanzania Natafuta HIV Positive

  11. Lulu michael

    JamiiForums Tanzania Dawa ya asili ya kiungulia ni nini jamani?

    Mmmh nn ...kione kwanza...
  12. Lulu michael

    JamiiForums Tanzania Dawa ya asili ya kiungulia ni nini jamani?

    Unawza kuona ushauri wangu wa masihara na kuudharau ila ndio msaada kwako....Kula karanga mbich kiasi kila unapohisi kiungulia, uje unipe feedback sawa?
  13. Lulu michael

    JamiiForums Tanzania Dawa ya asili ya kiungulia ni nini jamani?

    Unaweza ona ushauri wangu ukaona ni wa masihara na kuudharau ila ndo msaada kwako jaribu kula kiasi kidogo cha karanga mbichi kila unapohisi kiungulia..afu uje unipe feedback
Back
Top Bottom