Maisha na mali ya wananchi wa halmashauri ya Mlimba kata ya Mngeta na Mchombe yako hatarini kutokana na kuimbuka kwa kundi hatari la panya road maarufu kwa jina la Mungu moshi yaani bangi ndiyo Mungu wao. Vijana hawa kati ya miaka 15 mpaka 25 wanajihusisha na uporaji kwa kutumia mapanga, visu na...
Muungano ni wa ajabu, umezalisha wananchi wa ajabu matokeo yake ni sherehe za ajabu! Imagine ukienda Kigoma ndani ndani huko kama mtegowanoti utamkuta mpemba mwalimu, narudia ni mwalimu sio mfanyabiashara. Jiu;ize, je, ukienda pemba inawezekana ukamkuta msukuma ameajiliwa kama mwalimu huko...
Ulishajiuliza maswali kama JK Nyerere pia aliundiwa kamati?? Ben pia aliundiwa kamati?? Kwanini yeye!! Lazima patakuwa pana shida pahala! Lakini kama nyinyi mmeunda kamati ya kutetea kwanini wenzenu wasiunde kamati pia!
Fundi/engineer na Mbunge walohusika na ujenzi wa daraja hili ni kama wote wametoka Ulaya hawajui nature ya mito yetu wakati wa masika magogo mengi hupita kutoka juu. Angalia namna nguzo zilivyowekwa hapo chini karibu karibu zile kubwa za katikati na hizo za pembeni ndogo ndogo hakuna sehemu...
Kumekuwa na ukandamizaji, unyanyasaji na upigaji mkubwa sana wa pesa katika kata za mchombe na Mngeta kupitia mradi wa maji Lukicha! Pesa ya mfadhili pamoja na 10m alotoa Mh. Lwakate -marehemu imetumika kujenga katangi kadogo hata 5m hazifiki!
Mbali ya upigaji huu mkubwa wa ujenzi wa tangi la...
Nimeona kuna orodha ya kutosha ya chanjo tofauti kwenye nchi mbalimbali tofauti na hii inayotolewa hapa kwetu, mwenye uelewa mpana naomba clarification ya tofauti hiyo na chanjo ipi ni bora kuliko nyingine?
Mbona kuna vyama tena vikongwe vina wenyeviti wanakazi gani?, mfano chama tawala mwenyekiti wake kwa sasa anakazi gani!! CDM pia hata kwa miaka 20 kitajiendasha bila ya mwenyekiti. Nilipokuwa nasikia washauri ndiyo wanampoteza rais nilikuwa siamini leo ndiyo nimeamini kwa sababu ya ushauri mfu...
Nafikiri hoja yako iwe ya pili, ya kwanza kwanini kanchi kadogo kama Rwanda ambako hakana ardhi kubwa ya kilimo, hakana bandari, hakana madini na NP kama Tz kanatuzidi kimaendeleo?
Yani ukiwa Masikini utaendelea kuwa masikini tu. Vijana wametumika kabla ya uchaguzi na baada ya kushinda badala ya kusherekea bado inatumika kuanzisha posti eti mbunge mmoja wa Chadema ashiriki bungeni!
Hili nalo bumunda kama mabumunda mengine Tz. Yani unasifia ujinga wako eti kwa sababu unakazi!!
So ulitaka nyinyi wenye kazi serikalini muingize kura fake maagizo kutoka juu kwa sababu ya kazi afu vijana wapige kura nyingi sio!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.