Wito: CHADEMA chagueni Mwenyekiti mwingine, Mbowe kutoka ni ishu ya miaka

Mbowe walikuwa wanamchukulia time tu, habari zake zilishavuja long time, lakini waswahili walisema ''asiyesikia la mkuu huvunjika guu.'' Hawezi kupewa kesi ya ugaidi bila ushahidi, atavuna alichopanda.
 
Ccm ni laana tu ,inyowatafuna, hakuna lingine ,mmejaza mavyeti makabatin, ya kiwiziwizi tu ,lakini hata uwezo wa kupambanua Mambo madogo mnazidiwa na watato wa darasa la nne, that's Msukuma japo ccm anawatukanaga, vyeti vingi,akili zero, alafu wajiona mzima kumbe mfu tu
 
Leo nimekuwa na msikiliza mzee mmoja stafu kutoka kitengo Cha kupambana na ugaidi Tanzania nimeshtuka Sana pale alipo niambia kuwa ili mtu akamatwe kwa kosa la ugaidi lazima waziri wa mambo ya ndani ya nchi atoe amri baada ya kujiridhisha na ushahidi wa mshukiwa.

Amenihakikishia kuwa trials za ugaidi si chini ya miaka 4 na huenda zaidi na mshukiwa huweza kukaa ndani kwa kuogopa usalama wa nchi maana ugaidi ni mfumo.

Sasa nawashangaa CHADEMA badala ya kutafuta mrithi wa mbowe wako bize na mabango Ila kule Afghanistan, Syria, Mozambique, Eritrea,Kenya na Nigeria hata Indonesia mtu akikamtwa kwa ugaidi ndio Basi tena ,

Ni Bora CHADEMA kujielekeza kwenye kujenga chama badala ya kusubilia dodo chini ya mpera

Kesi ya ugaidi sio Kama kesi ya kuiba simu mitaani hapa mbowe itachukua miaka kibao kutoka au kupewa dhamana.

Mashekhe wa uamusho wamekaa miaka 9 tena wao ni viogozi wa dini kwenye inchi yenye waislam wengi na bado wamekaa

Mashekhe walitetewa na viongozi wa juu wa kitaifa na bado walikaa sana,tena Sana

Kule USA Gwantanano magaidi hadi leo wana miaka zaidi ya 25 wapo tu na kesi zao zipo kwenye trial itakuwa Mbowe

USSR
Huo ushauri si msaada kwa wahusika Bali ni pigo kwako
 
Leo nilikuwa naangalia ile clip ya Fatma Karume aliyokuwa anapambana na Polisi Mahakamani 2019, mtu aliekuwa Sambamba anapambana na Polisi 'kumnusuru' Fatma dhidi ya polisi ni Patrobas Katambi aliekuwa Mwenyekiti wa Bavicha Taifa, baadae ikaja julikana ni 'Mtu wetu' tena wa senior position

Huenda waliomstari wa mbele safari hii kumpigania Mbowe huko Bavicha wakawa 'Kabila moja'na Patrobas Katambi

Siasa ni mchezo wa khatari sana Wallah
 
Alishasema mwakani anastaafu so hata wakichagua Mwenyekiti mpya haitakuwa jambo jipya ukishakuwa kwenye mpango huo
 
Kesi ya ugaidi ni tofauti na hizi siasa zetu za kitoto. Jitahidi kutenganisha hayo mambo.

NB: Ule utapeli wa waziri Mkuu kuwa SGR kipande cha Dar-Moro kuanza kazi mwezi huu wa 8 unaanza lini, huyu ni mzee wa kutoa ripoti za moto ndani ya siku sana na kutoweka. Badala ya kufanya mambo ya maana mnafuja pesa za umma kufa siasa za kipuuzi.
 
kwani mashehe video zao za mihadhara huna? wametoka kwa sababu ya Mama tu! lin umeskia mbowe anaongea jukwaan hata neno ugaidi! au lin alishawaambia hata watu waingie barabaran
 
Mbona kuna vyama tena vikongwe vina wenyeviti wanakazi gani?, mfano chama tawala mwenyekiti wake kwa sasa anakazi gani!! CDM pia hata kwa miaka 20 kitajiendasha bila ya mwenyekiti. Nilipokuwa nasikia washauri ndiyo wanampoteza rais nilikuwa siamini leo ndiyo nimeamini kwa sababu ya ushauri mfu kama huu.
 
Ndio maana kuna mtu leo humu kawaporomoshea lugha kali na chafu kwakuwa mmekosa utu.

Ninahakika mpaka sasa wanaugulia maumivu maana kawatendea kadri ya matendo yao.
Hii kesi itachukua miaka mitano

USSR
 
Endelea kutumika kwa uovu siku ya kulipa ipo Karibu, andaa kizazi chako kisaikolojia, kwangu na kwa wengine utajificha Ila Mungu hajawahi kufichwa na utakosa wa kumdanganya endelea kuishi na watesi na furahia Sana Ila wakati waja wa kusema ningejua Ila too late
Vipi Leo ametoka

USSR
 
Leo nimemsikiliza mzee mmoja mstaafu kutoka Kitengo cha Kupambana na Ugaidi Tanzania.

Nimeshtuka sana pale aliponiambia kuwa ili mtu akamatwe kwa kosa la ugaidi lazima Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi atoe amri baada ya kujiridhisha na ushahidi wa mshukiwa.

Amenihakikishia kuwa trials za ugaidi si chini ya miaka 4 na mara nyingi huchukua muda zaidi na mshukiwa huweza kukaa ndani kwa kuogopa usalama wa nchi maana ugaidi ni mfumo.

Sasa nawashangaa CHADEMA badala ya kutafuta mrithi wa Mbowe wako bize na mabango wakati kule Afghanistan, Syria, Mozambique, Eritrea,Kenya na Nigeria hata Indonesia mtu akikamtwa kwa ugaidi ndio Basi tena.

Ni Bora CHADEMA kujielekeza kwenye kujenga chama badala ya kusubilia dodo chini ya mpera.

Kesi ya ugaidi sio kama kesi ya kuiba simu mitaani. Hapa Mbowe itachukua miaka kibao kutoka au kupewa dhamana.

Mashekhe wa uamsho wamekaa miaka 9 tena wao ni viogozi wa dini kwenye nchi yenye waislamu wengi na bado wamekaa. Mashekhe walitetewa na viongozi wa juu wa kitaifa na bado walikaa sana, tena Sana.

Kule USA Gwantanamo magaidi hadi leo wana miaka zaidi ya 25 wapo tu na kesi zao zipo kwenye trial, sasa ndo itakuwa Mbowe?

USSR
Nyoka anamuokoa samaki anayekkaribia kuzama!
 
Ule mpango wa kumlisha sumu naona mumeshaukamilisha. Muueni tu lakini haitafanya Watanzania waipende CCM.
 
Ule mpango wa kumlisha sumu naona mumeshaukamilisha. Muueni tu lakini haitafanya Watanzania waipende CCM.
Mtu akishatambulishwa kuwa ni gaidi, ujue kapigwa chapa kama sindano ya Corona.Mbowe atatunzwa sana ili aje awe fundisho kwa wajinga wengine wa aina yake.Yule hesabu ni sawa na kuwa Guantanamo,ukishasema huyu gaidi hata marekani haitakutetea
 
Unafikiri Marekani ni wapumbavu kuamini huu utaahira wenu wa kutengeneza kesi ambayo mumefika mahali hata kuiendesha mnashindwa. Katika jambo ambalo CCM na Serikali yenu dhalimu mumejitia dole wenyewe ni hii kesi ya Mbowe.
 
Back
Top Bottom