Recent content by lukeblair

  1. L

    Elibariki Kingu: DC Kijana aliyeadhibiwa kwa uhasama wa kisiasa

    Madaraka ya uteuzi kwa kikwete yamekuwa mazito sana na hili CHADEMA waliliona mapema..kuhusu kushambuliwa kwa lowassa kama ni kweli siwamfukuze uwanachama???si wamng'oe ccm???au wanaogopa wakimwaga mboga yeye atamwaga ugali na kutafunatafuna hadi bakuli la kunawia mikono???teh teh
  2. L

    Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

    Kumbe wanalipwa hawa jamaa???ndo maana nashangaa binadamu wa kawaida kufikiri kidogo kiasi cha kusifu upuuzi..huo Uhuru wa vyama vya siasa ndio ule wakuwapiga wanaoandamana hadi kuwang'oa meno???
  3. L

    Waliokosa ukuu wa Wilaya waanza mkakati mpya kumchafua Waziri Mkuu

    Khee???kwahiyo ulitaka watu wasifie uozo mkuu?
  4. L

    Jakaya Mrisho Kikwete, Mungu atakulipa!

    Kwakweli rais wetu amefanya kazi kubwa sana,hadi kuweza kuziona billion 300 ni fedha za madafu amejitahidi sana???watu wamepigwa hadi kusokomewa vijiti kwenye nyeti zao(operation tokomeza)amejitahidi sana kuwakenulia wezi rais wetu mpendwa sio eti???Nashindwa kuelewa mnaposifu akili zenu huwa...
  5. L

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wewe ni dhaifu sana kupewa ukuu wa wilaya
  6. L

    Sitamani kuzaa mtoto wa kike

    Yote ni malezi tu..kama wewe utavaa vimin na kukesha kwenye social networks mtoto wako atakuwa kama ulivyo wewe
  7. L

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

    Unafikiria nini kama nchi inaongozwa na kiongozi anaeamini nchi yake haiwezi kuendelea bila kuomba misaada na kuuza uhuru wetu???licha ya kubarikiwa rasilimali zote hizi???
  8. L

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

    Giza na nuru havikai pamoja mkuu,nuru italikimbiza giza.
  9. L

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ccm asipogombea lowassa sina sababu ya kuipenda
  10. L

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

    Mwanaccm aliyekosa cheo safi kipindi hiki cha professor wa kichina either atakuwa muadilifu sana au elimu yake ndogo.
  11. L

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mjukuu ni mtoto wangu na wewe kwa mama yangu
  12. L

    Watanzania waliosoma Havard

    Lowassa naye
  13. L

    CUF yateua jina la Lipumba kuwania nafasi ya urais kupitia UKAWA

    Tuombe uzima October sio mbali mkuu
  14. L

    Lipumba anafaa kuwa waziri mkuu!

    Kumbuka ukawa sio chama cha siasa vyama vinavyotambulika ni hivyo vilivyoungana!Na katiba iko wazi kuwa waziri mkuu atatoka katika chama chenye wabunge wengi bungeni...je cuf wanaweza kuwa na wabunge wengi bungeni kuliko vyama vyote???
Back
Top Bottom